albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,144
- 3,624
Umepaniki sana lakini je umefanikiwa kujiridhisha na hii video??? Mbona tunakua wepesi sanaaa kuamini vitu karbe hiii!!!!Wewe hebu kuwa na akili hata kidogo asee hivi kama dereva anakimbiza basi ndio apigiwe risasi? Nitajie hiyo sheria ni ya wapi na imeanza kutumika lini,
Hata kama tumechagua kushabikia upande fulani( hukatazwi) ila wanapokosea usisite kuonya ,
Ni vipi kama dereva angeingia woga na kuangusha basi hao unaowatetea wangejibu walikua wanaokoa abiria?
Kuna vitu vya kutetea ila sio hilo tukio ni la kishenzi sana sana