Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Umemjibu vizuri na kwa hekima,safi Mshana.![]()
![]()
![]()
![]()
mchawi mdogo wewe
Umemjibu vizuri na kwa hekima,safi Mshana.![]()
![]()
![]()
![]()
mchawi mdogo wewe
Mchawi mkubwa wewe! Utatoa consultation kwa mchawi kama wewe siyo mchawi? Keanza huku kwangu nimevunjiwa wezi wakachukua vitu vyangu vingi sana, nisaidie basi kuwavimbisha matumbo au mbupuma!Hapana ni consultant wao
Inamaana waganga wana make kuliko kipindi cha uchaguz???Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa![]()
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
.......... Huna adabu..........mchawi mkubwa wewe.
swissme
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa![]()
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
Mchawi wa kati huyo....![]()
![]()
![]()
![]()
mchawi mdogo wewe
Kwani mshana ni witchdoctor?