Aiseee hii noma sana kwa kweli kutumbuliwa kugumu lazima watafte means ya kujinasuaNimetoka Bagamoyo ni fully booked, naelekea Msata then Handeni nitaleta mrejesho! Binafsi nina oda kadhaa
Tembelea vijiwe vyao uone
ni balaa OkkkNicheki next week mwishoni
Ni kitu cha kushangaza mno lakini kwa sasa anga halifai, watu wanapishana angani ardhini na majini...!ni kutafuta kinga na ulinzi wasitumbuliwe majipu mali zao zisifilisiwe wala wasikamatwe na kushtakiwa![]()
Kama kuna wakati waganga wa kienyeji wanapiga pesa ni sasa viunga vyao vimesheheni wageni
Hali ni mbaya kuliko inavyodhaniwa
pale mzunguko wa maringo kumechafuka tangu jana. Tueleze kulikoniNicheki next week mwishoni
Ndio, na hii thread ni moja ya matangazo yake!Kwani mshana ni witchdoctor?
Hivi watu wanakuwa wendawazimu mpaka kkumwaga uchafu njia panda pale maringo wakifikiri wamewini? Kwa jina la mimi mwenye uwezo na uzima na kuamini hakuna mizimu wala miungu wala nguvu za giza na waamuru mmeshindwa..,,,, Walegeeee watalegea hata wale watakaoleta kura za maruani Dar. Sina chama sina sera naamini ukweli na usawa ulio kamilifu bila hila wala michepuko.pale mzunguko wa maringo kumechafuka tangu jana. Tueleze kulikoni
niah watu wamechanganyikiwa vibaya sana usiwalaumu wanafanya mambo ya ajabu na ya aibu wee acha tuHivi watu wanakuwa wendawazimu mpaka kkumwaga uchafu njia panda pale maringo wakifikiri wamewini? Kwa jina la mimi mwenye uwezo na uzima na kuamini hakuna mizimu wala miungu wala nguvu za giza na waamuru mmeshindwa..,,,, Walegeeee watalegea hata wale watakaoleta kura za maruani Dar. Sina chama sina sera naamini ukweli na usawa ulio kamilifu bila hila wala michepuko.
Yu wapi maji marefu ?Nicheki next week mwishoni
Nifah. Hii issue imekaa vibaya, jamaa angekaa pembeni tuu apishe. Kiukweli pamenuka.Hahaha hahaha noma sana.
Vita vya majipu furaha ya waganga wa kienyeji.
nchi inaenda wapi niambie mshana? niambie sasa watu wanshikana uchawi halafu wanafikiri ndo mwendo. Hivi wale walimu walowekwa sero sababu ya kuzini na wanafunzi tukifungulia mbwa watakwenda wangapi lupango??? Mzee wa usoga atakuwa humo pia na vijana wake sasa hawa wamerepresent walimu wote? I am 58 and i would have one of those teachers but I was smart but my friend was not she is diseased. Tufanyanyeje?niah watu wamechanganyikiwa a sana usiwalaumu wanafanya mambo ya ajabu na ya aibu wee acha tu