Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 26,149
- 47,958
Andrew Sekidia, amefariki mchana huu katika hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Muhimbili.
Mapema leo, Sekidia aliifahamisha Saluti5 kwa njia ya simu kuwa imebainika kuna hitilafu kwenye moyo wake.
Mwanamuziki huyo, boss wa Seki Musica, nyota wa zamani wa Diamond Sound, African Revolution (Tam Tam), Akudo Impact na Malaika Band, akasema wiki hii alikwenda JKCI kwaaji ya vipimo.
Lakini jana aliporejea tena JKCI akashauriwa kubaki hapo, akalazwa kwaajili ya matibabu na uchunguzi zaidi.
Msiba itakuwa nyumbani kwao Kimara Baruti.