Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Andrew Nyerere ni mimi Ganesh.
Hellow!
Andrew Nyerere ni mimi Ganesh.
lini?wapi?why?@Kaunga?Du; kweli JF ni kisima!
Kumbe ni kweli aliyetaka kucommit suicide ni Andrew!
This is some classic stuff.
Zakumi,
Hata mimi hilo la kutekwa nyara kwa ndege lilinishangaza kwamba RTD na magazeti yalishindwa kabisa kuzungumzia madai ya wateka nyara. Mimi nadhani ulikuwa ni woga tu wa wahariri kwa kuzingatia kwamba Daily News lilikuwa mali ya serikali na Uhuru na Mzalendo yakiwa mali ya TANU/CCM. Sidhani kulikuwa na maagizo yoyote kutoka Ikulu kwamba hiyo habari isizungumziwe kwa kina.
Mbona naona kama nasoma upya.
Hata mimi nilipoipitia nilitaka kukujibu tena nikagundua kumbe nimeshakujibu. 3 years later wala nisingebadilisha hata nukta ya kile nilichosema. JF ni hazina.........
Jasusi;
Andika kitabu. Maana mnayajua mengi lakini mnataka kuondoka nayo........
I am glad my wife is not reading this. Maana ananipigia kelele kila siku juu ya hili. Bado natafuta mukhtadha (context) kwa sababu sitaki kuandika something biographical. It will look a bit egotistical........
Wote bado wapo. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani. We are now 100,000 strong so you can imagine, the great thinkers are being dwarfed.JF used to be very classic.It was really the home of great thinkers.I regret to miss the opportunity to take a look on good old threads like this during the time they were hot.Mods,is there really nothing to do to regain this classic status of the forum?Big up to all great thinkers of that time Jasusi, Nyaningabu, Mkandara(umepotea bro),@Fundimchundo, Dilunga (mko wapi?) Mwafrika, Shwari na wote mliohusika kuifanya JF of those days to be an intellectual site.
Wote bado wapo. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani. We are now 100,000 strong so you can imagine, the great thinkers are being dwarfed.
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. Na sisi kenge tupo tu :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Kwi! kwi! Zakumi wewe ni great thinker. Huwezi kuwa kenge hata siku moja.
Ogah,
Kumbe bado upo? Good to see you here!