Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

Hivi mtoto wa shangazi yako akikulia ndani ya nyumba ya mjomba wake ambae ni baba yako mkiwa ndani wote uwa mnaitwa kwa jina gani vile...''watoto'' basi kama ndio jina hilo si ajabu mwalimu kuwa na watoto pia wa ndugu na jamaa waliokulia mikononi mwake...manake hata mashemeji na wadogo zetu upitia mikononi mwetu mpaka kufika utu uzima.Ukizingatia mfumo wa utamaduni ambao Mwalimu aliusimamia na nina hakika pia aliushi kwa vitendo kwa jina la ujamaa wa Kiafrika.Yani mpango mzima nyumbani kuona mtoto wa Shangazi, Mjomba, Mdogo wake Baba, Dada yake Baba, mtoto wa rafiki yake Babu na wengineo wengi tu kama sehemu moja ya kifamilia.

Tukisema watoto wa Mwalimu tunamaanisha watoto wake Mwalimu Nyerere na Maria Nyerere...
 
Mkuu Manyerere Jackton, umenikumbusha huyo John alikuwa mzuri kwenye karate.
 
Kupitia Picha hii Manyerere Jackton na Endrew Nyerere mnaweza kututajia nani ni nani katika umoja wenu huu..
12-24-2011 12-39-40 AM.jpg

John alikuwa mcheza karate na mpiga gitaa. Alikuwa na wimbo wake maarufu wa 'amina dole tupu'
 
Hivi mtoto wa shangazi yako akikulia ndani ya nyumba ya mjomba wake ambae ni baba yako mkiwa ndani wote uwa mnaitwa kwa jina gani vile...''watoto'' basi kama ndio jina hilo si ajabu mwalimu kuwa na watoto pia wa ndugu na jamaa waliokulia mikononi mwake...manake hata mashemeji na wadogo zetu upitia mikononi mwetu mpaka kufika utu uzima.Ukizingatia mfumo wa utamaduni ambao Mwalimu aliusimamia na nina hakika pia aliushi kwa vitendo kwa jina la ujamaa wa Kiafrika.Yani mpango mzima nyumbani kuona mtoto wa Shangazi, Mjomba, Mdogo wake Baba, Dada yake Baba, mtoto wa rafiki yake Babu na wengineo wengi tu kama sehemu moja ya kifamilia.

Tukisema watoto wa Mwalimu tunamaanisha watoto wake Mwalimu Nyerere na Maria Nyerere...

Yericko Nyerere hana ushangazi wala u mjomba na akina Nyerere wala hakulelewa pamoja na watoto wa Nyerere.
Yericko Nyerere ni Mhehe ambae hana uhusiano wowote na ukoo wa Nyerere. Hilo ni jina alilojipachika tu.
 
Kupitia Picha hii Manyerere Jackton na Endrew Nyerere mnaweza kututajia nani ni nani katika umoja wenu huu..
View attachment 250690

Kama hawa wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere bila shaka wengine watakuwa walizaliwa mapacha, maanq ukiangalia hapo ni.km wengi wanalingana....😕
 
Yericko Nyerere hana ushangzai wa u mjomba wala kulelewa na watoto wa Nyerere.
Yericko Nyerere ni Mhehe ambae hana uhusiano wowote na ukoo wa Nyerere. Hilo ni jina alilojipachika tu.

Naona uongezee na haya chini....uenda ukajilizisha, ingawa ilo unalolisemea linaweza lisipunguze maana,ili mradi muhusika ajitambue..
DSN said:
quote_icon.png
By Yericko Nyerere

Lini na wapi niliwahi kukuthibitishia kuwa mimi ni mtoto wa Julius Nyerere?

Kwa uthibitisho upi mkuu? Wasifu wangu upo hapa jf kwa mda mrefu, Mhehe na Mzanaki wapi na wapi???

Usiwe muongo na mnafiki
 
Kama hawa wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere bila shaka wengine watakuwa walizaliwa mapacha, maanq ukiangalia hapo ni.km wengi wanalingana....😕
Da uzuri wetu ambao ndio ubaya wetu watanzania hatupendi kujisomea ili tujifunze kama kusoma vitabu...na kujifunza ata tamaduni zetu enzi hizo na sasa.Wewe leo unazaliwa miaka ya 70s na kushuka chini ukiangalia kizazi cha 60s unataka kufanya comparison na kizazi cha sasa daa ni shidaa.Yani nakuona unavyopta shida na kutengeneza family plan yako.

Ebu tafuta watu wazima wa miaka hiyo wakwambie siri ya urembo kuzaa watoto lukuki na bado afya bomba.mie Bibi yangu alizaa watoto kumi na nne..unashangaa huyu nae na bado anaonekana kijana...tena afadhali hata huyu Mama Maria.Ukiwa huko anga za Mara-Musoma Mwanamke anajifungua leo baada ya siku tano yuko Mugondo aka shambani analima...na hiyo ni miaka hii je miaka ya Sitini ilikuwaje..
 
Inawezekana ume-quote statement yangu kwa bahati mbaya...nilichoandika mm na ulichoandika ww ni tofauti kabisa dogo😕
 
Wewe unamaana ulitaka kujua kuwa uenda watoto hao wa Mwalimu baadhi ni mapacha...hakuna taarifa kama sikosei ambayo inaonyesha kuna mapacha kwa Mwalimu..ndicho nilitaka kukwambia kwa lugha ya kisomi nikasema ungekuwa ushajifunza toka zamani uzazi unao uona ni uzazi halisi wa kiafrika kwa kusisitiza uzazi wa kibantu.Wakina mama wa zama za mama Maria hawazai wao kama wao tu kipindi hicho...Mama Mkwe, Baba Mkwe na koo za pande mbili zina mashinikizo pia kwenye uzazi wa wahusika ikitegemea na mahitaji ya koo husika kwa mujibu wa idadi ya Wanafamilia kwenye ukoo.

Mama mkwe wa kipindi kile anaweza kuibuka kwa mkwe wake mwenye watoto watano akashinikiza apatikane mwingine next time akiludi anaomba mwingine.Hiyo ndiyo familia ya kiafrika ya zama zile, uzai kwa mapenzi yako pia kuna pressure za familia kulingana na umuhimu wako kwenye familia yako. na kwa uzazi huo wala wazaaji hawaoni ni shida,ukizingatia pia hali ya maisha ya zama zile kuwatunza watoto na kuwapa mahitaji ya elimu ilikuwa sio shida.

Tena kupitia uzazi huu wa Mwalimu unaweza kuona ni jinsi gani alikuwa ANAVAA UHUSIKA HALISI wa kuahakikisha Mtoto yoyote wa Kitanzania anakwenda shule anapata elimu bora na matibabu bora kama wanae.

Mitaa yetu ya usukumani mpaka leo kitu moja na nusu hicho kingine, yeeyee bagoshaa angeeee!!!mmo topandekee nchoji!!!wakimaanisha mwingine labda apatikane mtafutaji...acha shida zetu hizi na uchoyo wetu mijini utuzuie kuzaa.
 
WEWE lazima utakuwa unawajua watoto wa Nyerere,tunaomba msaada wa biography zao japo juu juu

Ninavyofahamu mimi ni:

Wa kiume; Andrew, Makongoro, Madaraka, Magige na John.

Wa kike; Rosemary na Anna.
 
Wako wapi na wanafanya kazi gani?

Huyu kwanini kafaia muhimbili.na sio INDIA au paris?
 
Hawa ni wale nilipokuwa Nakua niliwaona, angalia kwenye picha kuna namba japo hazijakaa swadakta.
1.Makongoro.
2.Leticia
3.Rose.
Kupitia Picha hii mnaweza kututajia nani ni nani katika umoja wenu huu.,
 
Kupitia Picha hii Manyerere Jackton na Endrew Nyerere mnaweza kututajia nani ni nani katika umoja wenu huu..
 
Attachments

  • 1431253410564.jpg
    1431253410564.jpg
    32.5 KB · Views: 543

Similar Discussions

Back
Top Bottom