FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Wako wapi na wanafanya kazi gani?
Huyu kwanini kafaia muhimbili.na sio INDIA au paris?
Nnajuwa mmoja ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki.
Hilo la kifo naomba tumwachie Mwenyeezi Mungu.
Wako wapi na wanafanya kazi gani?
Huyu kwanini kafaia muhimbili.na sio INDIA au paris?
Hawa ni wale nilipokuwa Nakua niliwaona, angalia kwenye picha kuna namba japo hazijakaa swadakta.
1.Makongoro.
2.Leticia
3.Rose.
Ninavyofahamu mimi ni:
Wa kiume; Andrew, Makongoro, Madaraka, Magige na John.
Wa kike; Rosemary na Anna.
wewe unataka kuharibu mjadala-sisi tunataka kuwajua wewe unaleta mzahaUnajikomba sana kwenye familia ya Nyerere wanakujua kama unavyowajua wewe.
Yericko Nyerere hana ushangazi wala u mjomba na akina Nyerere wala hakulelewa pamoja na watoto wa Nyerere.
Yericko Nyerere ni Mhehe ambae hana uhusiano wowote na ukoo wa Nyerere. Hilo ni jina alilojipachika tu.
Unajikomba sana kwenye familia ya Nyerere wanakujua kama unavyowajua wewe.
Na Manyerere Jackton pia mtoto mwalimu kama Yericko Nyerere ?
Kupitia Picha hii Manyerere Jackton na Endrew Nyerere mnaweza kututajia nani ni nani katika umoja wenu huu..
View attachment 250690
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Sawa MJ !!DSN na wadau wote, nashukuru kubaini kuwa mna kiu ya kuifahamu familia ya mwalimu. Mimi si msemaji wa ukoo lakini kwa heshima ya John Guido Nyerere nitaandika wasifu wa namna nilivyomfamu. Vuteni subira.
huyo kwenye wekundu ni mke wa Madaraka sio mtoto wa kuzaa.
Sidhani kama Leticia ni mtoto wa Nyerere bali ni mkwe ,aliolewa na mtoto wa Nyerere,si ndio huyu wa Chadema anaishi Marekani?Hawa ni wale nilipokuwa Nakua niliwaona, angalia kwenye picha kuna namba japo hazijakaa swadakta.
1.Makongoro.
2.Leticia
3.Rose.
Sidhani kama Leticia ni mtoto wa Nyerere bali ni mkwe ,aliolewa na mtoto wa Nyerere,si ndio huyu wa Chadema anaishi Marekani?
Mmoja ndo katutoka jana. John Guido Nyerere alikuww mtoto wa nne kwa mwalimu nyererr na mwalimu maria. Alikuwa fighter pilot. Tutamzika butiama jumatano mei 13. Tayari tumeshawasili butiama kumsindikiza kamanda john.
John alikuwa mcheza karate na mpiga gitaa. Alikuwa na wimbo wake maarufu wa 'amina dole tupu'