Andrew Chenge asingeshindwa jibu(wages vs salary)

Andrew Chenge asingeshindwa jibu(wages vs salary)

Tofauti ya salary na wage ni swali la kihasibu. Sio la kisheria


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kisheria. Kwani wage au salary ni makubaliano ya muajiri na muajiriwa. Mhasibu atatimiza tu kuona makubaliano yenu mnalipana na kumbukumbu zinakuwepo.
Nadhani kwa jana lilikuwa na muktadha wa kisheria , na kwa muktadha ule wa jana nimeona Faiza umeeleza hapo juu ni sawa. Ila kihasibu/kiuchumi salary/wage is just a reward for labour,yaani salary na wage zinakuwa treated kama kitu chenye maana moja ya malipo ya mfanya/mtenda kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashindwa kujibu.

Inamaana hizo sheria/kanuni hazijapitia kwake? Au alipoitwa na Rais kuhudhuria kikao cha jana hakujuwa wataongelea nini?

Yeye angefafanua tofauti ya salary na wages kisheria.

Usitetee uzembe.
Ni vizuri amekuwa mkweli,kwa wanasheria pale wanasema lile jibu lake lilimaanisha HAJUI!
 
Unauliza jibu Ngosha, ndo maana na kuiba kote ila hakuna sehemu yenye ushahidi wa kumpeleka mahakamani. Ana akili kabla hajafanya jambo anahakikisha kishaona yajayo na haachi alama.

Kusoma postgraduate Harvard kuna ujiko kama kusoma undergraduate?
 
Salary ni mshahara, basic salary, wages ni take home ambayo ina has includes basic salary plus allowances. Usually salary ni ndogo, wages ambayo ni take home ni kubwa.

P
Mkuu hapa umepitia kumbukumbu zako vizuri Pascal?
Ni kweli salary ikongezwa na marupurupu na allowances nyingine inaitwa wage,lakini tafsiri ya ujumla ya wage sio hiyo. Kinachofanya iitwe wage ni kwamba sio fixed,next salary inaweza change kutokana na changes in allowance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku moja Chenge alikuwa anampa nondo Lissu ndo nilipokubali jamaa anajua sana sheria sema tu ana rekodi zake za kujihusisha kwenye madili. Kimaadili anatia shaka ila kwa ujuzi na utaalam wa sheria Chenge hana mpinzani nchi hii
Kuna siku pia Bungeni Lissu aliwasomesha namba madamu spika na crew yote, mwisho kaomba ushauri Kwa chenge, chenge akasema twende na alichosema Lissu. Mjadala ukaishia hapo na wale wabishi nzi wa kijani mikia Yao wakairudisha chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary ni mshahara ambao upo "fixed" kila mwezi au kila wiki au kila kipindi (interval) yoyote ya malipo mliyokubaliana, ukiifanya hiyo kazi pungufu ya muda au zaidi ya muda, salary ipo pale pale.

Wages ni malipo kwa muda au kwa kazi fulani utapoimaliza, kila saa kazini au kila siku malipo yako ni kadhaa. Saa/ siku ambazo hujafanya kazi hazina malipo. Au kazi fulani utapoimaliza malipo yatakuwa hivi. Ikuchukuwe mwezi su miezi mitatu mradi mmeshakubaliana "wage" basi ndiyo malipo yako.

Mimi si mwanasheria lakini hivyo ndiyo nielewavyo tofauti ya salary na wage.
Tukupe uanasheria mkuu!!
Mwezio alishindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mwanasheria bora alikuwa honest kuliko angejifanya anajua kumbe hujui. Kama kwenye medicine motto ni bora kusema hujui sio kosa as utajifunza, kosa fatal ni pale hujui halafu wajifanya unajua na ukakosea
Ata kwenye medicine kuna maswali ukishindwa watu watakushangaa, eti ukute daktari hajui tofauti kati ya APH na PPH,itashangaza sana
 
Kwani mshahara siyo kipato? Wages ni ujira wa vibarua.
Yes mshahara ni kipato ila mshahara kiofisi ni basic salary haijumlishi allowances, lakini wages ni take home ina include every income basic salary ikiwa inclusive.

P
 
Back
Top Bottom