Andrew Chenge maarufu kama joka la makengeza, mwanasheria hodari graduate from Harvard namkubali sana Kwa kutoa majibu ya hapo kwa papo Kwa masala yanayohusu Sheria.
Nilishuhudia mwansheria wa serikali jana kwenye Kikao kuhusu mafao ikulu,akishindwa kufafanua tofauti ya wages na salary.
Wengine mtaweza kutetea ya kwamba siyo lazima ajue kila kitu ,binafsi sikubaliani na kushindwa kwake kufafanua tofauti iliyojificha baina ya wages na salary pale alipoombwa kufanya hivyo na rais. Sababu mkubwa ni kutopenda kujisomea Sheria na kanuni mbalimbali,tena Kwa Jambo siyo kama hili la mafao.
Kamwe joka la Makengeza hasingeshindwa kutoa ufafanuzi wa papo Kwa hapo iwapo ingetokea tokea fursa ya yeye kufanya hivyo (historia inamlinda Kwa hili kwani amefanya hivyo mara nyingi).[/QUOTE
Ukweli ndio huo Mkuuu KIONGOZI WA Bariadi hashindwi hata na pia mzee wa vijisentiiiiii