Asante kwa kunisahihisha hiyo lugha ya kitumwa siijui sana mkuu. Kama ulifuatilia ule mkutano kuna mjumbe alitoa changamoto kuwa kuna sheria ya mfuko mmoja inatamka wages na inafanya calculation ya makato kutoka kwenye mshahara wa mfanyakazi baada ya ku include na allowances hivyo mchango unakuwa mkubwa ukilinganisha na sheria inayotamka salary ambapo makato yanatoka kwenye gross/basic salary hivyo ha include allowances. Kwa maoni yangu hii ilihitaji kusoma hizo sheria mbili ili kujibu kisheria zaidi na wala si kisiasa.professionary= professionally
Ina maana anakwenda kikao cha kazi huku sheria ya malipo ya kazi haifahamu? Upuuzi huo.