Duh! Unaposema kipato unamaanisha income? Maana hapa unajiconfuse kiongozi.Yes mshahara ni kipato ila mshahara kiofisi ni basic salary haijumlishi allowances, lakini wages ni take home ina include every income basic salary ikiwa inclusive.
P
I don't deserve position yoyote serikalini kwa sababu niliishawahi kuwa mtumishi wa serikalini na nikafukuzwa kazi kwa summary dismissal kwa kosa la insubordination, hivyo siwezi kuajiriwa tena serikalini.Pascal sasa naona una deserve position yoyote serikalini ,una hoja na uko fair haupendelei upande
Mwanasheria yupo kwenye nafasi nzuri ya kulijua hili kuliko Mhasibu.Chenge ni Mhasibu?!
Mshahara ni basic salary ambayo ni income ila haujumuishi marupurupu, income night kila unachoingiza.Duh! Unaposema kipato unamaanisha income? Maana hapa unajiconfuse kiongozi
Tundu Antipas Lissu.Andrew Chenge maarufu kama joka la makengeza, mwanasheria hodari graduate from Harvard namkubali sana Kwa kutoa majibu ya hapo kwa papo Kwa masuala yanayohusu Sheria.
Nilishuhudia mwanasheria wa serikali jana kwenye Kikao kuhusu mafao ikulu,akishindwa kufafanua tofauti ya wages na salary.
Wengine mtaweza kutetea ya kwamba siyo lazima ajue kila kitu ,binafsi sikubaliani na kushindwa kwake kufafanua tofauti iliyojificha baina ya wages na salary pale alipoombwa kufanya hivyo na rais. Sababu mkubwa ni kutopenda kujisomea Sheria na kanuni mbalimbali,tena Kwa Jambo ambalo lipo hot miezi ya hivi karibuni ,suala kama la mafao na kikokoteo .
Kamwe joka la Makengeza hasingeshindwa kutoa ufafanuzi wa papo Kwa hapo iwapo ingetokea tokea fursa ya yeye kufanya hivyo (historia inamlinda Kwa hili kwani amefanya hivyo mara nyingi).
Kwa taarifa so yeye aliyegonga bali alibeba lile kosa ili kuprotect mtu mwingineSheria zina " ubobezi" na unapomjibu Rais wa nchi hutakiwi kubahatisha . Huyo Chenge alivyogonga bajaj na kuua watu ilibidi akatafute mawakili wa kumtetea Marekani.......kama yeye ni nguli angeweza kujitetea mwenyewe!
Mkuu kama kipato ndiyo income, basi vyote salary na wages ni vipato.Mshahara ni basic salary ambayo ni income ila haujumuishi marupurupu, income night kila unachoingiza.
P
Ujira ni malipo ya mtu baada ya kumaliza kufanya Kazi. Nikimaanisha michango yake yote aliokuwa anaichangia na kuchangiwa wakati anafanya Kazi. Usije ukachanganya na pensheni, Pensheni ni malipo ya mtu alie lipwa ujira baada ya kufanya kazi, baadae anaanza kulipwa malipo ya mafungu mafungu kwa muda wote atakao ishi. Na mshahara ni malipo ya kila mwezi ya ujira ukiwa kazini.
Iko kwenye cost of buying goods kwasababu ni gharama za vibaruaLabda kwa kifupi!
Wage is added to cost of buying goods so is a part of COGAFS treated in Trading a/c
While salary is an expense treated in P & L a/c
Sent using Jamii Forums mobile app
No clear differences between wage and salary. Labda uje na opinion zako there is no single book which has managed to show out the diff.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu kwamba hakuna maelezo thabiti vitabuni yanayotofautisha kati ya Marupurupu na Mshahara?No clear differences between wage and salary. Labda uje na opinion zako there is no single book which has managed to show out the diff.
Sent using Jamii Forums mobile app
AmelewaNi kweli Mkuu kwamba hakuna maelezo thabiti vitabuni yanayotofautisha kati ya Marupurupu na Mshahara?
Hatari sana kwenye Sheria, mheshiwa kabisa Joka la Makengeza
Uyo ndiye joka la Makengeza,hakaukiwi mbinu za kisheriaKwa taarifa so yeye aliyegonga bali alibeba lile kosa ili kuprotect mtu mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app