Andrew Chenge asingeshindwa jibu(wages vs salary)

Wasichokijua watu hapa ni kwamba AG hakuulizwa tofauti ya hayo maneno.

Aliulizwa tofauti ya hayo maneno kama yalivyotumika katika hiyo sheria.
Kashindwa kujibu.

Inamaana hizo sheria/kanuni hazijapitia kwake? Au alipoitwa na Rais kuhudhuria kikao cha jana hakujuwa wataongelea nini?

Yeye angefafanua tofauti ya salary na wages kisheria.

Usitetee uzembe.
 
Sheria zina " ubobezi" na unapomjibu Rais wa nchi hutakiwi kubahatisha . Huyo Chenge alivyogonga bajaj na kuua watu ilibidi akatafute mawakili wa kumtetea Marekani.......kama yeye ni nguli angeweza kujitetea mwenyewe!
Ulishawai kuona daktari anajifanyia upasuaji kuondoa uvimbe tumboni ?
 
Kashindwa kujibu.

Inamaana hizo sheria/kanuni hazijapitia kwake? Au alipoitwa na Rais kuhudhuria kikao cha jana hakujuwa wataongelea nini?

Yeye angefafanua tofauti ya salary na wages kisheria.

Usitetee uzembe.
Umetoa ufafanuzi mzuri sana
 
Salary is a fixed calculated amount of money paid to a worker usually in a month,quarterly or annually,while Wages is a total income of someone in given time period, can be hourly or weekly,like vibarua wanalipwa wages, bora huyu mwanasheria angetoa hata maana ya neno moja hata kwa kujaribu,
Tatizo LA wasomi wetu hawana tabia ya kusoma vitabu wakishafanikiwa kupata ajira au kutoka kimaisha,elimu inatoka taratibu lakini kwa uhakika,Someni vitabu mpate maarifa,
 
Salary ni mshahara ambao upo "fixed" kila mwezi au kila wiki au kila kipindi (interval) yoyote ya malipo mliyokubaliana, ukiifanya hiyo kazi pungufu ya muda au zaidi ya muda, salary ipo pale pale.

Wages ni malipo kwa muda au kwa kazi fulani utapoimaliza, kila saa kazini au kila siku malipo yako ni kadhaa. Saa/ siku ambazo hujafanya kazi hazina malipo. Au kazi fulani utapoimaliza malipo yatakuwa hivi. Ikuchukuwe mwezi su miezi mitatu mradi mmeshakubaliana "wage" basi ndiyo malipo yako.

Mimi si mwanasheria lakini hivyo ndiyo nielewavyo tofauti ya salary na wage.
Salary na wages kama yametumika katika sheria basi lazima yawe na tafasiri yake kwenye sheria husika. Lazima watakuwa wameeleza maana ya salary au wages kwenye sheria hiyo. Hivyo Mwanasheria alijibu professionally zaidi na wala si kisiasa. Na amefanya vizuri sana ili aweze kuzipitia sheria hizo mbili ambayo inatamka salary na hiyo inayotamka wages.
 
Salary is a fixed calculated amount of money paid to a worker usually in a month,quarterly or annually,while Wages is a total income of someone in given time period, can be hourly or weekly,like vibarua wanalipwa wages, bora huyu mwanasheria angetoa hata maana ya neno moja hata kwa kujaribu,
Tatizo LA wasomi wetu hawana tabia ya kusoma vitabu wakishafanikiwa kupata ajira au kutoka kimaisha,elimu inatoka taratibu lakini kwa uhakika,Someni vitabu mpate maarifa,
Hiyo ni translation ya kawaida kwenye sheria kuna kuwa natafasiri kulingana na sheria husika.
 
Salary is a fixed calculated amount of money paid to a worker usually in a month,quarterly or annually,while Wages is a total income of someone in given time period, can be hourly or weekly,like vibarua wanalipwa wages, bora huyu mwanasheria angetoa hata maana ya neno moja hata kwa kujaribu,
Tatizo LA wasomi wetu hawana tabia ya kusoma vitabu wakishafanikiwa kupata ajira au kutoka kimaisha,elimu inatoka taratibu lakini kwa uhakika,Someni vitabu mpate maarifa,
Umeongea ukweli mtupu
 
Salary na wages kama yametumika katika sheria basi lazima yawe na tafasiri yake kwenye sheria husika. Lazima watakuwa wameeleza maana ya salary au wages kwenye sheria hiyo. Hivyo Mwanasheria alijibu professionary zaidi na wala si kisiasa. Na amefanya vizuri sana ili aweze kuzipitia sheria hizo mbili ambayo inatamka salary na hiyo inayotamka wages.

professionary = professionally

Ina maana anakwenda kikao cha kazi huku sheria ya malipo ya kazi haifahamu? Upuuzi huo.
 
Salary na wages kama yametumika katika sheria basi lazima yawe na tafasiri yake kwenye sheria husika. Lazima watakuwa wameeleza maana ya salary au wages kwenye sheria hiyo. Hivyo Mwanasheria alijibu professionary zaidi na wala si kisiasa. Na amefanya vizuri sana ili aweze kuzipitia sheria hizo mbili ambayo inatamka salary na hiyo inayotamka wages.
Ilikuwaje asipitie apo kabla?ina maana ilisainiwa bila kupitiwa na mwanasheria ?
 
Salary ni mshahara ambao upo "fixed" kila mwezi au kila wiki au kila kipindi (interval) yoyote ya malipo mliyokubaliana, ukiifanya hiyo kazi pungufu ya muda au zaidi ya muda, salary ipo pale pale.

Wages ni malipo kwa muda au kwa kazi fulani utapoimaliza, kila saa kazini au kila siku malipo yako ni kadhaa. Saa/ siku ambazo hujafanya kazi hazina malipo. Au kazi fulani utapoimaliza malipo yatakuwa hivi. Ikuchukuwe mwezi su miezi mitatu mradi mmeshakubaliana "wage" basi ndiyo malipo yako.

Mimi si mwanasheria lakini hivyo ndiyo nielewavyo tofauti ya salary na wage.
Salary ni mshahara, basic salary, wages ni take home ambayo ina has includes basic salary plus allowances. Usually salary ni ndogo, wages ambayo ni take home ni kubwa.

P
 
Back
Top Bottom