Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Hapo imefika June 24 tayari wako ivi. Ikifika tar 30 tutaona wengi. Magu awaonee huruma hawa tunaweza kushuhudia wengi na mengine mengi.
 
Mshahara utoke tu kwa kweli
😁 😁 😁 😁
mkuu chit chat unataka kubadilisha jukwaa la mishahara.
Mshahara hauwezi kutoka wakati kuna siku kadhaa mwezi haijaisha. Utakuwa unakula rushwa. unalipwa bila kufanya kazi hizo siku zilizobaki mwenzi utimie
 
umebadilisha neno wewe.
nakubishia.
''wewe sio shoga..'' ndio lilikuwa swali lako.
ila nakubishia tena. Matunduizi ni '' maneno au maandishi'', maandishi hayawezi kuwa shoga.
jina la mtu haliwezi ,kuwa maneno au maandishi....
Matunduizi ni "nomino",jina la mtu, kwa hiyo matunduizi ni shoga....
 
jamaa anapindua matokeo , nilitaka nimbishie ila nimeogopa kupinduliwa matokeo au kugeuziwa kibao
😁 😁 😁
mkuu hakuna mbishi muoga.
huna utayari wa kurudisha matokeo yaliyopinduliwa kama FC Liverpool.
mtu atageuzaje matokeo yako alafu hujitetei.

humu hamna wabishi, sibishani tena
 

mkuu hakuna mbishi muoga.
huna utayari wa kurudisha matokeo yaliyopinduliwa kama FC Liverpool.
mtu atageuzaje matokeo yako alafu hujitetei.

humu hamna wabishi, sibishani tena
Kwahiyo unataka nikupindue kwa mbele au kutokea nyuma
 
jina la mtu haliwezi ,kuwa maneno au maandishi....
Matunduizi ni "nomino",jina la mtu, kwa hiyo matunduizi ni shoga....
Jina la mtu sio Mtu.
kuna kitu unamissi hapo.

Ukiambiwa BOB OS ni Shoga, mana yake ID fake ya mwanadamu mmoja anayejiita BOB OS ni shoga.
Sio lazima mwenye hilo jina awe shoga.

'' BOB OS'' ni shoga, unabisha au unakubali sasa baada ya muongozo?
 
Back
Top Bottom