Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Jina la mtu sio Mtu.
kuna kitu unamissi hapo.
Ukiambiwa BOB OS ni Shoga, mana yake ID fake ya mwanadamu mmoja anayejiita BOB OS ni shoga.
Sio lazima mwenye hilo jina awe shoga.
'' BOB OS'' ni shoga, unabisha au unakubali sasa baada ya muongozo?
muongozo hauko kwenye "Bob os",upo kwa "matunduizi"
kwa mantiki hiyo matunduizi ni shoga
 
Wewe mwenye id ya matunduizi umejuaje kama matinduizi hajaandika chochote?
Mimi similiki ID yoyote mkuu.
ID zote na maandiko yote tunayoandika humu ni Mali ya JF, ndio wanayamiliki kisheria na wanawajibika pia kwayo.
 
wewe unayejiita matinduizi ni mwanaume
Sijiiti.
Neno kujiita linauhusiano na sauti sio maandishi.
Kwa sababu hii sio audio chat, hivyo umeandika uongo kuwa mimi najiita wakati hujanisikia sauti yangu
 
Apa hujachemka mzee baba...who is your name?
 
Jf maana yake ni ...Jambo Fulani... Sasa utasema vipi kuwa jf inamiliki ID yako
Hahahahaha
sasa naanza kukukubali.
1106510
 
Back
Top Bottom