Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Watoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
 
Matunduizi kile chakula cha mama ntilie kilikuwa na kemikali gani mpaka kikakufanya uanzishe huu uzi? Kalale kama umevuta bangi usirudie na kama ni gongo badili muuzaji.
 
hicho kidonge unapiga kwa maelekezo maalum pombe unajipimia tu
pombe ni nini?
Pombe ni alcoholic content katika hicho kinywaji na kidonge.
Nakubishia pia pomne za viwandani na mitaani hujipimii wanakupimia wanaokutengenezea na kuweka kiwango.
 
Matunduizi kile chakula cha mama ntilie kilikuwa na kemikali gani mpaka kikakufanya uanzishe huu uzi? Kalale kama umevuta bangi usirudie na kama ni gongo badili muuzaji.
hahahahahhaaaa
nimeambiwa kimepikiwa maji ya maiti.
wenda yanaongeza ujasiri wa kubishana hata kubishia ujinga.
 
Watoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
nabisha.
watoto wako sio damu yako.
ndio maana wanaweza kuwa na damu grupu O wewe A.

hiyo ni lugha ya uongo.
 
Back
Top Bottom