Nani aligundua kuwa ili ulale usingizi lazima ujifunike shuka au blanket? Na unampa asilimia ngapi?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Habari wanaJF.

Kuna wanasayansi wengi wamepita na wamefanya mengi mazuri, na sifa zao zinaishi mpaka kesho.

Lakini Kuna wanasayansi waliogundua kwamba ili mtu alale Ni lazima angalau ajifunike chochote lakini wanasayansi hao hawajulikani au ni jambo lililotokea kwa asili?

Kwamba watu walijikuta wanafanya hivyo? Wewe unapenda kujifunika nini? Na unampa asilimia ngapi mgunduzi wako wa kujifunika??
 
Ni Sawa Na Kumtafuta Mtu Aliyegundua Kunyandua Papuchi?

Binadamu Alikuwa Na Uwezo Ambao Urithisha Generation Moja Kwenda Nyingine.
 
Habari wanaJF.

Kuna wanasayansi wengi wamepita na wamefanya mengi mazuri, na sifa zao zinaishi mpaka kesho.

Lakini Kuna wanasayansi waliogundua kwamba ili mtu alale Ni lazima angalau ajifunike chochote lakini wanasayansi hao hawajulikani au ni jambo lililotokea kwa asili?

Kwamba watu walijikuta wanafanya hivyo? Wewe unapenda kujifunika nini? Na unampa asilimia ngapi mgunduzi wako wa kujifunika??
Ndo nasikia kwako kwamba kulala hadi ujifunike shuka
 
Back
Top Bottom