Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Ndugu zangu waislam na wakristo
Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali.
Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa kusimama kidete..
Wanadamu waoga wanauaibisha mwili wa mungu waliopewa na ni wahaini dhidi ya serikali yake ya haki na takatifu.