Thanks MritoNafasi zikishatangazwa huwa kuna timu inatumwa mikoani wakishirikiana na washauri wa mgambo wa wilaya na mikoa husika. Hapo kuna interview ukishapita ndio unapewa fomu, baada ya hapo fomu zinarudi makao makuu then wanapanga sasa kambi za kuwapeleka. Kwa mlolongo huo ndio maana zoezi huchukua miezi zaidi ya mitatu yaani kuanzia nafasi kutangazwa mpaka kuripoti makambini. Ukishapewa fomu maana yake umepita interview so wangojea kupangwa tu.. Wish you luck amigos
Inawezekana...issue tangazo waktoa mchakato ndo utaanzaEti nasikia nafac tayari, kuna mtu kanitonya. Kuna mwenye uhakika na hili??
Hakuna taasisi inayokosa siasa, final decision ya jeshi ipo kwa mwanasiasa ambaye ndiye amir jeshi mkuu (Rais), Kuna vyeo vya kuteuliwa na raisi ambavyo viko ki siasa.Jeshi halina siasa kama tulivozoea katika taasisi nyingine. Kile chombo kinaendeshwa kwa order na order inatoka makao makuu hivyo hata huko wilayani hawawezi kujua nafasi zinatoka lini.
Mkuu amiri jeshi mkuu siyo cheo cha jeshi bali wanamuita hivyo kwa sababu yeye ndio anachagua wakuu wa majeshi yote yaani jeshi la wananchi (tpdf), jeshi la polisi, jeshi la zimamoto na uokoaji, jeshi la magereza na jeshi la uhamiaji. So mamlaka ya majeshi yote yapo kwa wakuu wa majeshi hayo, kazi ya raisi ni kupitisha tu.Hakuna taasisi inayokosa siasa, final decision ya jeshi ipo kwa mwanasiasa ambaye ndiye amir jeshi mkuu (Rais), Kuna vyeo vya kuteuliwa na raisi ambavyo viko ki siasa.
Katika andiko langu sikusema amir jeshi ni cheo cha jeshi. Ila nimesema ni final decision maker wa maamuzi makubwa ya jeshi na yeye ndo anaye control majeshi yote na fahamu kwamba mfumo wa kisiasa wa ndani ndo unaongoza na mifumo ya kijeshi. Hakuna jeshi linalojiendesha completely 100% bila kutegemea political system ya nchi husika.Mkuu amiri jeshi mkuu siyo cheo cha jeshi bali wanamuita hivyo kwa sababu yeye ndio anachagua wakuu wa majeshi yote yaani jeshi la wananchi (tpdf), jeshi la polisi, jeshi la zimamoto na uokoaji, jeshi la magereza na jeshi la uhamiaji. So mamlaka ya majeshi yote yapo kwa wakuu wa majeshi hayo, kazi ya raisi ni kupitisha tu.
Mkuu siasa nilizoongelea hapa ni zile blah blah tulizozea kutoka kwa viongozi wetu wengine kwenye taasisi mbalimbali. Kwa mfano unaweza kuta waziri wa afya amealikwa kwenye mahafali ya chuo cha manesi sio ajabu anaanza kutoa ahadi mara ooh mwaka huu tutahakikisha tunaajiri manesi wote waliomaliza. Lakini kwenye jeshi hayo mambo hamna na ndio maana hata mshauri wa mgambo wa mkoa hawezi kujua kwenye mkoa wake wanahitajika kuruta wangapi. Jeshi hakuna propaganda na ndio maana mkuu wa majeshi huwezi kumuona hovyo hovyo sijui anaongea na waandishi wa habari.Katika andiko langu sikusema amir jeshi ni cheo cha jeshi. Ila nimesema ni final decision maker wa maamuzi makubwa ya jeshi na yeye ndo anaye control majeshi yote na fahamu kwamba mfumo wa kisiasa wa ndani ndo unaongoza na mifumo ya kijeshi. Hakuna jeshi linalojiendesha completely 100% bila kutegemea political system ya nchi husika.
Watu hawajui kuna tofauti kati ya siasa ya dola na siasa ya chama.Mkuu siasa nilizoongelea hapa ni zile blah blah tulizozea kutoka kwa viongozi wetu wengine kwenye taasisi mbalimbali. Kwa mfano unaweza kuta waziri wa afya amealikwa kwenye mahafali ya chuo cha manesi sio ajabu anaanza kutoa ahadi mara ooh mwaka huu tutahakikisha tunaajiri manesi wote waliomaliza. Lakini kwenye jeshi hayo mambo hamna na ndio maana hata mshauri wa mgambo wa mkoa hawezi kujua kwenye mkoa wake wanahitajika kuruta wangapi. Jeshi hakuna propaganda na ndio maana mkuu wa majeshi huwezi kumuona hovyo hovyo sijui anaongea na waandishi wa habari.
Zile za Chamani ni porojo, unapoongelea siasa lazima ujue unazungumzia mfumo wa maisha ya mwanadamu ya kila cku.Watu hawajui kuna tofauti kati ya siasa ya dola na siasa ya chama.
Ina muda haipoAsante kwa kutembelea Tovuti yetu.. Itarudi baada ya mda mfupi
Tangu Tarehe Moja mwezi wa 3 mpaka leo bado imefungwa DuuAsante kwa kutembelea Tovuti yetu.. Itarudi baada ya mda mfupi