betson mkwawa
Member
- Nov 15, 2014
- 69
- 68
ILALA wameshatoa?Mkoa wa dar wilaya ya ilala kaka nlkuwa ofisin kwao leo saa tano ndo tqarifa wamenpa na maelezo jinsi ya kuandka barua hyo maana lazma iptie kwa mtendaj kata na mwenye kiti wa serikal za mtaa wako
Yes bob tayar[emoji61]ILALA wameshatoa?
picha mkuu kama unayo ya hilo tangazo itakuwa morali sana ukitupiaYes bob tayar[emoji61]
Tangazo ckulpga pic mzee wa kazi ila issue hyo tayar imetokapicha mkuu kama unayo ya hilo tangazo itakuwa morali sana ukitupia
Andaa mazaga tu (vyeti)kaka jamaa wametoaMm nlipita pale mchana nikaangalia tu ubao wa matangazo sikuliona tangazo ndio maana nimeuliza ILALA kama tayari kweli maana sikwenda of is in I kuuliza
Sana kaka mi nlkuwaga cpaelew zaman[emoji45]Guys For Sure Hakuna Social media Kama JF '' Live Long.
. Naipenda JF Miaka Mia Nane.
Viambatanishi muhimu : Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha elimu ya msingi, Cheti cha sekondari,leaving certificate za sekondari, Cheti cha chuo(km umefika chuo)Andaa mazaga tu (vyeti)kaka jamaa wametoa
Asante Mkuu, tupo pamoja.Ni kweli nafasi za JKT zimeshatangazwa japo Kuna baadhi ya Wilaya bado hawajapata barua za maelekezo,
Kumbukeni kuwa na vyeti halisi vya elimu(original academic certificate and school leaving certificate) kikiwemo na Cheti cha elimu ya msingi, ni muhim mno hiki Cheti cha std VII hata kama una degree lakini Cheti cha std vii ni muhim kuwa nacho!
Nawatakia kila la heri vijana,
Ila jiandae kupimwa UKIMWI kijana na kupekuliwa mwili mzima mpaka siriniAsante Mkuu, tupo pamoja.
Daah kiongozi mimi cheti cha primary na leaving ya form four imefungiwa na mshua kasafiri anarudi tarehe 16 ila nna chakuzaliwa,cha secondary na cha chuon pia......watanizngua??Viambatanishi muhimu : Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha elimu ya msingi, Cheti cha sekondari,leaving certificate za sekondari, Cheti cha chuo(km umefika chuo)
Hakikisheni majina na tarehe za kuzaliwa havitofautiani kwenye vyeti vyenu vyote,
Nawatakia kila la heri vijana,
Ahahahahahahahahahahaha!!!Ila jiandae kupimwa UKIMWI kijana na kupekuliwa mwili mzima mpaka sirini
Hakikisha unakuwa navyo hivyo vyeti kijana wangu, ni bora ukamwambia mshua aje afungue uchukue vyeti vyako! Otherwise utaachwa tu hata kama una division one!Daah kiongozi mimi cheti cha primary na leaving ya form four imefungiwa na mshua kasafiri anarudi tarehe 16 ila nna chakuzaliwa,cha secondary na cha chuon pia......watanizngua??
Usicheke kijana, km una govi Wahi kutahiriwa mapema! Magovi hayatakiwi hukoAhahahahahahahahahahaha!!!
Ahahahahahaha hizo sheria za kizamani mkuu.Usicheke kijana, km una govi Wahi kutahiriwa mapema! Magovi hayatakiwi huko
Watch out,Ahahahahahaha hizo sheria za kizamani mkuu.
Haaa Haaa .Usicheke kijana, km una govi Wahi kutahiriwa mapema! Magovi hayatakiwi huko
Ahsante kiongozi natumiwa funguo na mzee kesho ...u saved me[emoji61]Hakikisha unakuwa navyo hivyo vyeti kijana wangu, ni bora ukamwambia mshua aje afungue uchukue vyeti vyako! Otherwise utaachwa tu hata kama una division one!
Amini nikwambiayo, nna uzoefu wa hizi mambo!Ahsante kiongozi natumiwa funguo na mzee kesho ...u saved me[emoji61]