uzolelanga
Member
- Sep 16, 2020
- 79
- 162
Mkuu hizi ni body spray au perfume?
nikiona tu uzi wa perfume brain ina ruka umo..
Habari, nimeulizia hiyo dark fever nimeambiwa ni 20,000/=Dark fever 12000
Fighting temptation 18000
Royal lamba 7000
Zote fresh
Habari, ni wapi wanauza kwa hiyo bei?
Kuna duka nlinunua lipo mbande magenge nilichukua kwa bei hiyo 12, 000 ila kwasasa lina muda mrefu duka halijafunguliwa huenda jamaa kahama.Habari, nimeulizia hiyo dark fever nimeambiwa ni 20,000/=
Kwa hiyo bei ya 12,000 wanauza wapi mkuu
Kariakoo maduka yapo karibu na sheli ya big bonHabari, ni wapi wanauza kwa hiyo bei?
Mimi nipo chanika Dsm, nimeulizia huku nimeambiwa ni 20,000
Hii dark fever imepigiwa promo ila bei yake iko chini mnoo halafu ya kiume eti
CH Good GirlNipen jina la pafyume kali bei isizidi 400000
Nyie zinakuwa na more floral compared na za kiume more citrus, woody, aqua etcHalafu pafyume za kiume ndo zina utuli mzuri kuliko za kikewhy?