Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

Godfrey Sway

Member
Apr 13, 2018
37
34
Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu.
Kwenye Biashara Aina hizi za Embe zimeshika Kasi sana Sokoni.

1. Kent Mango.
Hii ni aina ya Embe Kubwa sana, kuanzia gram 800 - 1kg.
Ni Tamu sana pia Ina Rangi nzuri ya kuvutia.

2. Tommy Artikin.
Sifa kubwa za aina hii ya Embe ni Rangi ya kuvutia Sokoni, Embe size ya kati uzito 500g-800g.
Embe inakuwa tamu sana hata kama utakula kabla haijaiva.

3. Apple Mango.
Hii ndio Embe inayosifika kuwa na Juice tamu zaidi Kutokana na uchachu iliyonao kwa mbaali.
Kokwa Dogo, nyama kubwa haina nyuzi nyingi.

4. Red Indian.
Kwanza aina hii ya Embe inavumilia sana shambani, Tunda Lake rangi nyekundu yakuvutia, Size ya Kati.

5. Dodo.
Hii ni Aina ya Embe ambayo inapendwa na watu wote sababu ya umaarufu wake. Embe haina harufu Wala kuwa na uchachu inapokuwa imeiva, Embe la size ya kati.

Kwa Leo inatosha.

Usijiulize mara mbili.
Tumekuandalia aina zote za Miche ya Embe kwa Bei Ile Ile ya 2500 Tu. Miche imebebeshwa yote Hivyo ndani ya Miaka 2 na nusu tu. Utaanza Kuvuna.

Tupigie Leo
Mr. Sway 0752799673
Glory Farm 0746850361
Tupo SUA Morogoro Ulipo Tunakufikia.
Screenshot_20230827-205907.jpg
 
Tupo SUA Morogoro Ulipo Tunakufikia.View attachment 2811125View attachment 2811126View attachment 2811128View attachment 2811127View attachment 2811124View attachment 2811129
Maelezo ya kila aina ya embe yalitakiwa kuambatana na picha yake.
 
Naomba kuuliza, miembe inaweza kupandwa umbali gani kutoka katika ukuta wa nyumba kwa ajili ya kuogopa mizizi isipasue nyumba?
 
Mimi kwenye compaund yangu nimeotesha kila aina ya tunda
FANYA HIVI
chimba shimo liende mpaka chini ya msingi, weka PVC pipe chini kabisa hata futi tatu chini ya shimo weka kokote kwenye PVC, weka mbolea then otesha mti wako wowote
ukifanya hivyo kila ukimwagilia maji yatakuwa yanaenda chini na roots will start also going down kutafuta maji, kwa muktadha huo,, roots will not disturb ukuta wa nyumba yako hata kidogo

ninayo miti mikubwa karibu kabisa na ukuta hakuna hata dalili ya nyufa hata kidogo, unapootesha mti juu na roots kusambaa ndio kiini cha ukuta kupasuka
Kila la kheri
 
Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu.
Kwenye Biashara Aina hizi za Embe zimeshika Kasi sana Sokoni.

1. Kent Mango.
Hii ni aina ya Embe Kubwa sana, kuanzia gram 800 - 1kg.
Ni Tamu sana pia Ina Rangi nzuri ya kuvutia.

2. Tommy Artikin.
Sifa kubwa za aina hii ya Embe ni Rangi ya kuvutia Sokoni, Embe size ya kati uzito 500g-800g.
Embe inakuwa tamu sana hata kama utakula kabla haijaiva.

3. Apple Mango.
Hii ndio Embe inayosifika kuwa na Juice tamu zaidi Kutokana na uchachu iliyonao kwa mbaali.
Kokwa Dogo, nyama kubwa haina nyuzi nyingi.

4. Red Indian.
Kwanza aina hii ya Embe inavumilia sana shambani, Tunda Lake rangi nyekundu yakuvutia, Size ya Kati.

5. Dodo.
Hii ni Aina ya Embe ambayo inapendwa na watu wote sababu ya umaarufu wake. Embe haina harufu Wala kuwa na uchachu inapokuwa imeiva, Embe la size ya kati.

Kwa Leo inatosha.

Usijiulize mara mbili.
Tumekuandalia aina zote za Miche ya Embe kwa Bei Ile Ile ya 2500 Tu. Miche imebebeshwa yote Hivyo ndani ya Miaka 2 na nusu tu. Utaanza Kuvuna.

Tupigie Leo
Mr. Sway 0752799673
Glory Farm 0746850361
Tupo SUA Morogoro Ulipo Tunakufikia.View attachment 2811129
Kumbe huhifahamu dodo. Unasema haina harufu? Labda dodo ya kwenu. Dodo ina harufu na ni maarufu na ni tamu sana. Umekariri au kunukuu kwa nani hii makala?
 
Mimi kwenye compaund yangu nimeotesha kila aina ya tunda
FANYA HIVI
chimba shimo liende mpaka chini ya msingi, weka PVC pipe chini kabisa hata futi tatu chini ya shimo weka kokote kwenye PVC, weka mbolea then otesha mti wako wowote
ukifanya hivyo kila ukimwagilia maji yatakuwa yanaenda chini na roots will start also going down kutafuta maji, kwa muktadha huo,, roots will not disturb ukuta wa nyumba yako hata kidogo

ninayo miti mikubwa karibu kabisa na ukuta hakuna hata dalili ya nyufa hata kidogo, unapootesha mti juu na roots kusambaa ndio kiini cha ukuta kupasuka
Kila la kheri
kila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?

Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
 
Hajui chochote huyo
Ameotesha embe na chungwa anasema aina zote za matunda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom