Anayejua aina nzuri ya perfume

Ngoja mm nikupe list hapa Kazi iwe kwako kuumiza AKILI lkn nukuu ongezea iyo pesa yako Ndugu yang .Nukuu hautokuja kujutia ukitumia hizi bidhaa


Changamoto zake ni kusumbuliwa na wadada

1.Brown orchid
2.Echo
3.Versace
4.Zara
5.Dior
6.GreedAventus sio ile og.
7.Axe polo
8.Hayaat
9.Dark fever
10. Dirham
Mkuuu moja Kati ya hizi bidhaa ni kwere inkaa kwenye nguo 24hours na zaid depends na mazingira unashinda ww



Mademu nje nje huvutiwa na zile harufu quite and smooth haikeri .Sijaweka bei lkn angalau uwe na 25k utaopoa mojawapo kila la kheri katika Safar ya kuwa gentleman
Excellent,Nitapata chimbo zuri ninunue za jumla za mills tofauti
 
Nunua izi perfume ni nzuri balaa
1.Dior sauvage
2.creed aventus
3.bleu de channel
4.one millions
5.de Nuit de intense
6.davidoff cool water for men
7.tom ford
8.versace for men
9.Aqua di GIO
Wakuu kati ya hizo box mbili za sauvage ipi ni original na ipi ni copy??
View attachment 2202379
20220404_194926.jpg
 
Back
Top Bottom