Anayejua aina nzuri ya perfume

Pisi kali zinukie na nyie mnukie kweli mwanaume ikibidi hata makalio yako yasiguse mafuta mpaka siku unadanji
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Naona unatafuta body spray.
Perfume za 15k ni za kupima hizo za watoto wa shule mkuu.
Perfume nzuri kiasi inaanzia 50k kwenda juu
 
Back
Top Bottom