Anayejua aina nzuri ya perfume

hii shingapi...nimeokota nauza
20220516_194006.jpg
 
Ngoja mm nikupe list hapa Kazi iwe kwako kuumiza AKILI lkn nukuu ongezea iyo pesa yako Ndugu yang .Nukuu hautokuja kujutia ukitumia hizi bidhaa


Changamoto zake ni kusumbuliwa na wadada

1.Brown orchid
2.Echo
3.Versace
4.Zara
5.Dior
6.GreedAventus sio ile og.
7.Axe polo
8.Hayaat
9.Dark fever
10. Dirham
Mkuuu moja Kati ya hizi bidhaa ni kwere inkaa kwenye nguo 24hours na zaid depends na mazingira unashinda ww



Mademu nje nje huvutiwa na zile harufu quite and smooth haikeri .Sijaweka bei lkn angalau uwe na 25k utaopoa mojawapo kila la kheri katika Safar ya kuwa gentleman
ongeza na la nuit tressor, allure sport, pink chiffon, eros for men, escada cherry in the air, profondo.
 
Invictus, black XS...

Ina bei kuanzia laki...

Ila utanukia utakuja kunishukuru...
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Perfum isiyozidi 15000 lazima iwe kero tu.Kwani wanatumia ingredients cheap na nyingi ni synthentic chemicals.
Hata aina ya alcohol iliyomo ni zile za kiwango cha chini mno
 
Back
Top Bottom