Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,117
Hao mbona ni kama wapareWa huko siwawezi
View attachment 3445626
😍❤️Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Tako la rafiki la nn mkuu😂Una tako?
Ebu weka kapicha ka mguu tuoneHao mbona ni kama wapare
Ka chat gpt au ka google unataka?Ebu weka kapicha ka mguu tuone
Uwe unasalimia kwanza binti yangu ndo utoe mawazo yako!Hivi under 30 uwa mnatuona tuko kama vitoto vya 2000 sio?
Haya get ready kesho nakupitia tukafanye hiking Meru camp. Pumzi si iko mamdogo auntie?
wa kwakoooKa chat gpt au ka google unataka?
Sasa shikamoo za nini tena huku mjini 🤣🤣Uwe unasalimia kwanza binti yangu ndo utoe mawazo yako!
Anafeli sana boya huyoNi mpare wa milimani kabisa 🤣
na anaitwa Mbaga
Hahaaa
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Siwezi kusimama bila wewe, wewe ni nguzo muhimu ili paa liendelee kuwa imaraJifunze kusimama kipekee sasa ili
Ukibaguliwa usikwame 😜
Nafurahi kuonaMrs Byesige 😀😀 nmekushtukia we Mrs. Kitomari
Unazingatia tu protocol kimtindoSasa shikamoo za nini tena huku mjini 🤣🤣
Asante, umekidhi vigezo?Karibu PM Binti wa zamani ..🤗🤗
Sawa, unataka nikupe mbinu za nini ndugu?Tupeane mbinu.
Urafik nzur ni kuonyeshana njia