jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,703
- 41,866
Yaani nyie mnataka muachwe na.ma comment yenu ya hovyo hovyo .
Lazima tuyakemee kama vile ma pastor wanavyokemea mapepo madhabahuni.
Kama hamtaki kujibiwa maupumbavu yenu muwe mnayajadili hukohuko Kwenye vikao vyenu vya familia msiyalete huku public Kwa magreat thinkers
Pumbavu zako
Hayo mahubiri na makemeo yamepunguza maasi nadhambi kiasi gani?
Pia na wewe fungua uzi wa kukemea hayo maasi na dhambi unaingilia uzi usio kuhusu,nyanoko

