Anayehitaji kufundishwa lugha ya kingereza kuongea na kuandika tuwasiliane

Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani,


Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k

Basi tuwasiliane PM,

Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na sio group Bali ni individual classes kutokana na mahitaji ya mhusika,

Hakuna utapeli Wala ubabaishaji njoo tuyajenge
Siku nyingine tangazo kama hili ungeliandika kwa kingereza halafu ungelitafsiri kwa kiswahili ili kuonyesha msisitizo.
 
Siku nyingine tangazo kama hili ungeliandika kwa kingereza halafu ungelitafsiri kwa kiswahili ili kuonyesha msisitizo.
Sina haja ya kujionyesha hapa,
Kwa wale ambao naendelea nao wanaweza kuwa mashahidi..

Njoo pm mkuu ..kama unahitaji
 
Kuhusu bei haiwezi kulingana maana kila mmoja na mahitaji yake but ni bei nzuri tu ambayo unaweza
 
Back
Top Bottom