Naomba msaada ndugu zangu JF, nipate mwalimu wa kunifundisha lugha ya kingereza cha kuongea na kuandika

haya anza kwa kila unachotaka kusema humu au kuuliza kwa kingereza..., kujua lugha ni kuiongea na kuitumia tu hakuna lingine pia soma vitabu na karne ya sasa nenda youtube lazima kuna tutorials
 
Najua nimeeleweka hapo juu. Shida yangu kuu niupande wa lugha ya kingereza ndo nakwama sana. Naomba msaada wenu tafadhali. Wakuu.
Mkuu unakwama wapi?
Mbona Arusha kuna wataalamu wengi sana wa Lugha tena wa kimataifa.
Kuna kipindi nilikutana na wale jamaa wanaosindikiza wazungu/tour guides aisee jamaa ni hatari wanagonga ngeli ile original ya British na America.
Nilipowahoji mmejifunzia wapi waliniambia kuna vituo vingi kuna watu wanafundisha.
Kama una rafiki yeyote anafanya kazi za utalii muulize atakuelekeza.
 
Back
Top Bottom