Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Hayo ndo mapenzi ya siku hizi hakuna kupendana kwa dhati ni kudo na kula kona.

Huo ndo ukweli ukimmalizia shida yake kwa sasa mumewe akirudi atamwambia
darling nilikumiss mbaya mbovu kumbe hola kashado na Shark na anachuna
Habari ndo hiyo........

Ila mke wa mtu sumu shark oooohhhhh

Upo Dena Amsi mpe kijana mausia maana ni kama kesha amua kujiachia.
 
Last edited by a moderator:
Halafu mkitoka kukoboana unategemea kuna biashara itakuwa inaendelea hapo?

Utapigwa mizinga mpaka ushangae!
 
kwanza wewe shark ni hatari na shost wako kama mmecheza dili hadi za kusababisha watu kufumaniana na mengine mengi (nahisi ni machafu pia) wenyewe mkaona poa, iweje leo uombe ushauri wakufanya mapenzi na huyu? vikao mlikuwa mnafanyia guest, hotel, bar nakadhalika na mpo wawili tutaminije kama hamumku*****na?

msipende kutufanya wote tupo under 20yrs
 
ni request ndogo sana, sijaona sababu ya kuifungulia uzi jf..
seriously, hivi bahati kaa hii kwanini huwa hazinifuati?
 
Ngoja sasa akuweke kwenye kiti moto kwa kuja kumtangaza hadharani.

 
Last edited by a moderator:
Siamini katika kujaribu mapenzi, mapenzi hayajaribiwi. Mkijaribu tu unaweza shangaa hata hizo deals za fedha hampigi tena. Jitahidini kuvishinda vishawishi.
 
Yeah,
Ndio maana nikafikiria ya kudanganya kua mimini victim wa HIV.
Hiyo haisaidii akisema mtumie zana utasemaje? Hebu mwambie ukweli tu achana na mambo ya kudanganya oo safafi, oo mwathirika, oo hivi oo vile. Mwambie ukweli. Biblia inasema ukweli utakuweka huru.
 
Yes sio wote
lakini hapa kuna trap...
hii inaitwa 'vagina trap'
ama mwanamke atataka kumdhibiti kwa sababu ya 'bussiness' wanazofanya
au atataka kulipia baadhi ya madeni kwa sex....

.................................... meaning maelewano kabla ya biashara au kuelewana baada ya biashara?
 
Dah,
Ukweli nikimkatalia napo pengine ndio mwisho wa kujihusisha nae kibiashara.

Nahisi nifumbe tu macho, but only once!!
Acha utoto ndugu yangu kuwa na msimamo kufumba macho nini bwana. Hebu ikimbie zinaa shauri zako ukifanya moyo wako kuwa mgumu yatakayokupata ujilaumu mwenyewe. Maana kaka zako tunaojua mambo hayo tumekushauri inaonekana ibilisi ameisha kuingia. Haya bwana wetu ushauri uamuzi wa mwisho unao wewe.
 
Biashara kati ya kijana single na mke wa mtu ni u sugar mummy tu

Ni lazima i move from "CONTRACT" to "CONTACTS"

Na hapa hakuna biashara ni utegemezi tu.

Na huyu mama anajua analofanya...from day one she knew very well what was her plan.
 
Chukulia ume do nae
na ukamkopesha pesa

jiulize....asipokulipa utamdai?????????/

Ataanzia wapi kumdai? Anataka kujiingiza kwenye matatizo ambayo yako wazi namna hii! Ningekuwa mimi nisingehangaika hata kuomba ushauri ktk hili. Ningefanya maamuzi sahihi pale pale.
 
Good!
Hiyo ya kudanganya ni kuahirisha tatizo, ni bora umwambie ukweli; mwambie unamthamini kiasi cha kutosha kiasi kwamba huwezi kumreduce kwa one night stand, kwamba unamuheshimu mumewe kiasi kwamba hutaki kumsaliti na kuwa unampenda kiasi cha kutotaka mahusiano yenu yawe compromised kwa sex na vitu vinavyoambatana navyo. Mwambie unaelewa they way anafeel, na kwamba hadi kukueleza shida yake inamaana anakuamini; mwambie hautajali kama atatafuta solution nyingine/kungine na kwamba hautainterfere kabisa.

Say it in a way ambayo itaonesha unajali na unamuelewa.

Kaunga Kaunga hapa ndipo huwa nakukubali! LIKE, LIKE, LIKE ....
 
Back
Top Bottom