Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Jioni ndio hii,
Na jamaa ndio "anapiga".

Maana sijamuona kujibu hapa comments mbalimbali muda mrefu tu.
Ushauri wote tuliompa pamoja na kufikia comments karibia 100 hakuzingatia, ngoma itaua wengi sana.

Inasikitisha sana!
 
Ushauri wachana na mke wa mtu, kama ana nyege mwambie asubiri mpaa mme wake aje, kama hawezi akjitibu hospital wanawake wengi wenye manyege yanamna hio wameisha tibiwa.

kuna hatua huwa inafika hamu haizuiliki mpaka upate kitu ndio ipungue muacheni jamaa amsaidie huyo dada kuzipunguza.
 
Kama una wasiwasi,ni pm mawasiliano yake, I will be pleased to be of help to her!, nina roho nzuri sana na kusaidia watu umekuwa ni wito wangu wa muda mrefu

Haha! huo ushauri kiboko, au uko ndani ya jina lako kama linavyoonyesha!
 
vitu vingine ni kujitakia..yani maongezi ya biashara mnakutana vyumbani peke yenu. Kwanini usiweke mipaka kati ya kazi na mapenzi? vile vile kuzuia mazingira hatarishi kama mkutanapo.
kama una hamu malizana na gf wako, huyo mke wa mtu acha kabisa!
 
vitu vingine ni kujitakia..yani maongezi ya biashara mnakutana vyumbani peke yenu. Kwanini usiweke mipaka kati ya kazi na mapenzi? vile vile kuzuia mazingira hatarishi kama mkutanapo.
kama una hamu malizana na gf wako, huyo mke wa mtu acha kabisa!
Jamani biashara zingine ni siri ati, sasa mtafanya vipi deal ya kuuza Uranium peupe pee; lazima mtafute pa kujificha!.
 
Achana na huyo dada kabisa ! Tena kaa mbali na yeye. MKE wa mtu ni chakula chenye sumu!
Kaa mbali sana!
 
Feedback tafadhali,
Vipi umechukua ushauri upi kati ya yote haya?
Na jioni imeisha sasa ni usiku mmewasiliana na huyo mtaka msaada?
Au ndio ilikuwa ................. potezea!
 
Huo ni kama moto sasa utaombaje ushauri kuushika au la? hicho ni kama choo inakuwaje uombe ushauri utumbukie au usitumbukie? hiyo ni dhambi sasa inakuwaje utuombe ushauri kwani sisi ni wasaidizi wa mwasi shetani? Ushindwe katika jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na la .......!
 
Karejee vitabu vyako vya dini


QUOTE=Shark;4605887]Hello Wanabodi,

Kuna mdada mmoja ambae amekua rafiki yangu kwa muda mrefu sana. Huyu dada tumekua tukifanya biashara mbalimbali za hapohapo (deals) pamoja kwa muda mrefu tu.

Ni kawaida nikiwa na deal namuita chemba labda guest, bar, hotel, kwake, kwangu, beach n.k tunaongea, nae hivyohivyo, tuko kifedha tu. Pia anaweza akawa ama shida ya Tshs kadhaa nikamkopa, nami pia hivyo. Anamjua Gf wangu, nami namjua Mumewe. Sijawahi kum-feel kimapenzi (sijui upande wake)

Sasa jana akaniita chemba (hotelini) tuongee kwani kuna issue/biashara anataka anipe. Kukutana nae zikaanza story za hapa na pale, huku tukijaribu kukumbushiana biashara zilizopita zilivyofanikiwa na nyingine zilivyofeli.

Story zilikua nyingi sana huku akikawia kwenda kwenye point (sio kawaida).

Baadae ndio akadai eti mumewe kasafiri mwezi wa pili sasa hivyo haja-do muda mrefu na anaskia SANA hamu. Alidai yuko serious na nichukulie kama namsaidia tu kama rafiki. Nilimuuliza kama ana feelings zozote za Mapenzi kwangu akadai ananichukulia kama kaka tu ma mshirika wake wa karibu. Aliniambia nisimuangushe, na ananipa Jana mpaka leo kujiandaa, but leo jioni KUSAIDIANA TIME!!

Nimemuuliza hatanogewa akataka tena, na mumewe akijua itakuaje akajibu nichukulie kama ni ombi la kawaida tu kama mengine ya kusaidiana kifedha. Hivyo ya mumewe nimuachie mwenyewe.

Wanabodi,
Leo jioni ndio time, mdada ni best yangu sana, tuseme tunawekana mjini kwa Biashara tufanyazo,

Ushauri wenu.
1) Nikamsaidie shida yake??
2) Ku-do bila kua kwenye mahusiano kuna ladha gani??
3) Any other ushauri!![/QUOTE]
 
Hakuna urafiki kati ya me na ke...hata ukiwa in the name of biashara mwisho wake ndio kama huu.

Stay away from jinsia nyingine. Shetani mnamtafutaga wenyewe!

hapo napingana nawe hadi pumzi yangu ya mwisho.
Ninao marafiki wa kike wengi sana ambao tuna heshimiana
sana.
 
Usiusemee moyo wa mwenzio...wewe ndio unawaheshimu...at least for the time being.

Ngoja wakutokee uje na uzi hapa.

Kwani huyu mleta mada urafiki wameanza leo? Kwani alijua kuwa atamtaka?

Ni matter of time. Utaja tuambia...kama utasema lakini. Lol.
hapo napingana nawe hadi pumzi yangu ya mwisho.
Ninao marafiki wa kike wengi sana ambao tuna heshimiana
sana.
 
Usiusemee moyo wa mwenzio...wewe ndio unawaheshimu...at least for the time being.

Ngoja wakutokee uje na uzi hapa.

Kwani huyu mleta mada urafiki wameanza leo? Kwani alijua kuwa atamtaka?

Ni matter of time. Utaja tuambia...kama utasema lakini. Lol.

Hata mimi na wewe ni marafiki wa siku nyingi lol
 
Back
Top Bottom