Anataka to-do, But No Love Relationship!!

We shark acha kupoteza muda we nenda katianeni then uwe tayari kwa matokeo,kama unaogopa basi funga mjadala kwa kumwambia NO
 
Haki ya Mungu sijamla.
Tumekubaliana tukutane leo jioni.
Nafikiria kumwambia nimepata msiba wa ghafla Morogoro kisha nikakata ticket ya kizushi.
Aliniambia nichukulie tu kama shida zengine ya kifedha tinazosaidianaga na kua eti sisi ndio tuna-complicate wakati ni issue ndogo tu.

Nimejaribu kutafuta consultations from my friend, nikaambiwa nimwambie kua mimi ni muathirika labda araniacha, napo naona sio poa kusingizia huu ugonjwa,

Ila ukweli SIJAMLA!!

Jiamini kwanini usingizie misiba na hayo yote? we mwambie tu siwezi nina msichana wangu runapendana na msikutane vyumbani anaweza aje amejiandaa bure mwishowe akuzushie kesi.
na siku nyingine onwards msikutane vyumbani.
 
Dah! umenikumbusha ile hadithi ya Sungura "sizitaki mbivu hizi"
maelezo yako yanaonyesha sitaki na taka..... fuata moyo wako unasemaje ila elewa mke or mume wa mtu ni sumu!
 
Kuna mdada aligharimia mpaka harusi ya serengeti boy wake...ingawa wengi walikuwa wanajua ni business partner.

Mke wa serengeti boy kuja kugundua kuwa bidada hakuwa 'wifi' kweli it was too late.

Huyu sugar mummy alishakufa na ngoma kwa sasa...maana sifa ya ma sugar mummy hawanaga serengeti moja.

This is a true story na huyu sugar mummy was my sister's friend.

Huwa wanaangaika kwa kuwa wengi waume zao wana pesa sana lakini hawawezi kazi za 6X6...kaa ukijua mtakuwa mnapangwa ndio maana kasema kabisa no love ni sex.
 
Duh,sikujua kuna kina baba huruma siku hizi???...unajua lililo sahihi,lifanye hilo!!!
 
Nyie wote ni wazinzi tu mnatuzuga hapa...

Ati mnaitana chemba gesti, baa au hotelini kudiscuss biashara na MKE WA MTU???....mawe!!
 
Daima iliisha semwa hamna baina ya Mwanamume na Mwanamke ile kati yupo ibilisi, na kazi yake ni hiyo kesha weka mtego anaotaka.
 
kaka mheshimu mpenzi wako na tambua ukishaanza ku do nae ndio mishe za biashara zitakufa na pia mishe zako nyingi zitakuharibikia
 
Kuna mdada aligharimia mpaka harusi ya serengeti boy wake...ingawa wengi walikuwa wanajua ni business partner.

Mke wa serengeti boy kuja kugundua kuwa bidada hakuwa 'wifi' kweli it was too late.

Huyu sugar mummy alishakufa na ngoma kwa sasa...maana sifa ya ma sugar mummy hawanaga serengeti moja.

This is a true story na huyu sugar mummy was my sister's friend.

Huwa wanaangaika kwa kuwa wengi waume zao wana pesa sana lakini hawawezi kazi za 6X6...kaa ukijua mtakuwa mnapangwa ndio maana kasema kabisa no love ni sex.

Jnsi unavyoongea bila kuremba
nahisi kuna watu wanakukoma humu basi tu lol
 
Jnsi unavyoongea bila kuremba
nahisi kuna watu wanakukoma humu basi tu lol
sema tunakukoma humu ndani The Boss!ila kimsingi napenda sana nyumba kubwa alivyo huru!safi mdada tukomeshe tu mwaya,mambo ya kuremba nini ili kiwe nini?
 
sema tunakukoma humu ndani The Boss!ila kimsingi napenda sana nyumba kubwa alivyo huru!safi mdada tukomeshe tu mwaya,mambo ya kuremba nini ili kiwe nini?

Ha ha haa
na mimi pia?
hata wewe ukitulia una point za kufa mtu
 
Huwa una logg in na mbili tatu kichwani?

ahahahahhahahahh wala!af wala sinywi pombe kabisa,napenda sana kampani ya watu wanaokunywa yani zile swaga zao mie hoi,na ndo marafiki zangu!so nikiongea habari za mbili tatu inakuwa ni dedication kwao!
 
Back
Top Bottom