Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Follow ur heart.,hapa hata sisi tukikwambia uachane nae wakati zakari imeshakusimama itasaidia nini sasa
 
Kama una wasiwasi,ni pm mawasiliano yake, I will be pleased to be of help to her!, nina roho nzuri sana na kusaidia watu umekuwa ni wito wangu wa muda mrefu

Mkuu Pombekali wanasema kizuri kula na mwenzako!plz akikubali na mimi unipe featuring mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Mh! Naona unaomba Mungu angekwambia wewe! hahahaha!

unadhani lisa mbona mie ningefanya juu chini nimpe dozi kamili mpaka mwenyewe asema kaka mie nitakuwa nakupa wewe tuu
 
Wadau,
Nliadimika baada ya kutumiaa silly trick ya kuizima na kudanganya nimepoteza simu.
A trick is so silly that nimekosa kua hewani kwa muda wote toka jana jioni, pia it is just a postponement of tatizo from yesterday to today.

As a her problems are my concern so as not to create instabilities between us and our affairs, i have to make sure she is maximum stable as she as to to see on me, nawajibika kutimiza what she needs from me, so long as will not cost me anything at all.

Her husband knows me as well, and he even know that i have business affairs with his wife. Swala la kuniombea ndugu zanguni ni kuhusu nikumbuke tu "kuvaa" kitu ambacho nawaahidi sintowaangusha. I have to get a deal from her as she said she have, so no way i Can continue escaping her anymore.

Shark
 
nilkuwa nasubiri huu uzi wako wa mwisho tu hapo ndiyo nimepata jibu kuwa hata siku moja usije kubali mpenzi/mkeo/mume wako kuwa na biashara na mtu wa jinsia tofauti labda awe ndugu yake kwakuwa hawezi kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu otherwise hakuna uaminifu duniani tena, imeniuma sana hii hali na sisi tunaofanya kazi tujue haya kuwa ukienda mbali kwa muda fulani basi utakuta mkeo si wako tena bali watu wengine tayari wanakusaidia kutunza familia yako, its bitter to swallow, sisemi uongo imeniuma sana ujumbe wako wa mwisho shark.
 
Shark with all due respect naomba uliludie upya hilo bandiko lako post # 130 hicho Kiswanglish mimi nimeshindwa hata kujuwa unaongelea nini zaidi ya kuvaa condom, unless labda mimi ndio sijui kingereza.
 
Last edited by a moderator:
Kazi na dawa...ulivyokuwa unaenda chumbani kwenye hoteli ulikuwa unafikiri nini? Naona hayo ni mazingira hatarishi...kama ulikataa utakuwa hujamtendea haki maana mwenzako alitegema atapata dozi yake.
 
Maaamuzi ulikuwa nayo alaf unaomba ushauri!
Take care!

Wadau,
Nliadimika baada ya kutumiaa silly trick ya kuizima na kudanganya nimepoteza simu.
A trick is so silly that nimekosa kua hewani kwa muda wote toka jana jioni, pia it is just a postponement of tatizo from yesterday to today.

As a her problems are my concern so as not to create instabilities between us and our affairs, i have to make sure she is maximum stable as she as to to see on me, nawajibika kutimiza what she needs from me, so long as will not cost me anything at all.

Her husband knows me as well, and he even know that i have business affairs with his wife. Swala la kuniombea ndugu zanguni ni kuhusu nikumbuke tu "kuvaa" kitu ambacho nawaahidi sintowaangusha. I have to get a deal from her as she said she have, so no way i Can continue escaping her anymore.

Shark
 
nilkuwa nasubiri huu uzi wako wa mwisho tu hapo ndiyo nimepata jibu kuwa hata siku moja usije kubali mpenzi/mkeo/mume wako kuwa na biashara na mtu wa jinsia tofauti labda awe ndugu yake kwakuwa hawezi kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu otherwise hakuna uaminifu duniani tena, imeniuma sana hii hali na sisi tunaofanya kazi tujue haya kuwa ukienda mbali kwa muda fulani basi utakuta mkeo si wako tena bali watu wengine tayari wanakusaidia kutunza familia yako, its bitter to swallow, sisemi uongo imeniuma sana ujumbe wako wa mwisho shark.
Na wewe acha udhaifu, ina maana wewe huna hata kidumu nje ya mkeo? Watanzania hawako bize ndio maana muda mwingi wanawaza ngono, kama ukipata bahati ya kufika Japan au kama umefika utajuwa hapa naongelea nini.

Na ukumbuke vile vile Wanawake wana maumbile tofauti kwahiyo hiyo ni tabia ya mtu, kama mkeo ni kicheche mnaweza mkawa hata kwenye sherehe na akapigwa dushelele hata chooni na wewe ukiwepo ukumbini unamsubili, haya mambo hayahusiani na mtu kusafiri. nina jirani wote waswahili na wako pamoja lakini mtoto wao ana nywere za singa, sasa inabidi wawe wanamnyowa nywele kila zikikuwa.

This Generation ni Taboo, usimdondoshee moyo wako wote binadamu mwenzako utakuja kulia Jombaaa.
 
Sio wote wako hivyo!

nilkuwa nasubiri huu uzi wako wa mwisho tu hapo ndiyo nimepata jibu kuwa hata siku moja usije kubali mpenzi/mkeo/mume wako kuwa na biashara na mtu wa jinsia tofauti labda awe ndugu yake kwakuwa hawezi kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu otherwise hakuna uaminifu duniani tena, imeniuma sana hii hali na sisi tunaofanya kazi tujue haya kuwa ukienda mbali kwa muda fulani basi utakuta mkeo si wako tena bali watu wengine tayari wanakusaidia kutunza familia yako, its bitter to swallow, sisemi uongo imeniuma sana ujumbe wako wa mwisho shark.
 
kaka iyo umewekewa ndani ya 18, ukipaisha watu watakucheka!
hapo enzi zangu sikukosi!
 
Huyu mama mumewe atakuwa amemruhusu atafute satisfaction nje. Huwezi kuwa mwanaume rijali afu umruhusu mkeo afanye biashara na vijana, mahotelini, magest, eti na beach. Lol. Na mume anajua. Huyo ni mume au BABA MLISHI. Hapo hakuna cha mume kusafiri wala nini...ameamua kubadili serengeti na this affair will take some time kabla hajaamia kwa mwingine. Wala si one night stand.

Si wanawake wote tuko hivyo bana. Watu tunakaa mbali na hubby zetu for months na hatujawahi vunja uaminifu.

Hilo ni gume gume tu.

Sio wote wako hivyo!
 
ukisahafanya naye..utafanya naye tena na tena....na italkuwa ndo mchezo wen.na lazima hizo deals zenu ziende kombo-maana mtakuwa mmeshachanganya mambo-kama gf unaye-huyu awe ni biznes patner tu
ushaur wangu ni huo bro
 
Mkuu we ni mtu mzima so wat u hv tu du usiruhusu hali ya namna hiyo,maana ninavyojua hii kitu ukisha prctz nahis mmojawapo atanogewa na inaweza kuharib hata urafk wen kibiashara mf.ktk suala la kkopeshana thn kuna sku atakwambia bas tusitumie kinga utakubali? Unauhahkka wa afya yke kwa as.mia ngp? Halaf nakushaur uache tabia ya kukutna na mke wa mtu sehm hatarshi kama kweny hizo nymba za strhe,ebu fikiria mme wake akiwakta mko maeneo yle atawaelewaje? TULIZANA ..MCHE MOLA WAKO.
 
Back
Top Bottom