True mkuu..
Mimi hiki kitu hakiniingii akilini kabisa how come mwanaume aliyekana mtoto, hagharamii chochote uwe eti confused hivyo? Huyu Dada anampenda sana jamaa na jamaa kashaligundua hilo ndo maana anamvuruga akili..kaishamsoma!
Na na uhakika atamrudia tuu na asipokuwa makini atamwongezea mtoto wa pili. Mark my word Numbisa[emoji125] [emoji125]
Kisa cha kumuita mwenzio Lyatonga!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisaa bado unamkubali uyo jamaa kama ingepain usingethubutu kumwandika apaMalezi mazuri ya mtoto ni kutoka kwa wazazi wote wawili...
Even after all what the dude has made you go through, you sound still loving the dude...
Kukupa ushauri ni ngumu kwa sababu bado unampenda huyo jamaa..
Cc: mahondaw
Mmmh...sijapata ona[emoji23] [emoji23]
Mkuu pole...
i thout ni peke yangu nimeona hilo, lol wanawake kweli wana huruma,
kwa story yake wala hakua na haja ya kuomba ushauri, huyo mwanaume alivyokuja tu, angemtimua kwa maji ya moto,
Poor her, she still in love and dilema awww, she needs comfort awww.
Mi nachoka tu challenge kidogo anapanic [emoji23] [emoji23]Hahahaa hizo mbio unaogopa kuambiwa njoo PM ee
Kuna ka udhaifu sana mtoto ana miaka mitatu tayari bidada ana boyfriend mwingine hapo hata maumivu hayajapona ana mawasiliano na ex. Huyu jamaa wa sasa atakua anajisikiaje may be akiuliza anaambiwa we are only in good terms not otherwise
Mi nachoka tu challenge kidogo anapanic [emoji23] [emoji23]
Uzi kaleta mwenyewe so +ve na -ve comments uzipokee uzifanyie Kazi..
Yani kwa mazingira hayo mtu kama huyo unaweza mpa mtoto ukulele??mwisho wa siku ndo hao tunaosikia wamechomwa moto mikono na mama wa kambo kwa sababu alidokoa mboga..kama mzazi ataki kuzeeka kwa majukumu...unategemea huyo mama wa kambo wa huyo mtoto atakuwa teyari kuzeeka kwa mtoto wa mwanamke mwenzie??Na wanawake wenyewe wa leo???..Ndio anapenda mteremko kweli.halafu ananambia nasikia siku hizi uko njema kweli nimepata story zako,umepewa kitengo.can you imagine?
Anapita ubungo hata kumchukulia mwanae kaptula ya mtumba ya buku 2 hajali,halafu nimpe mtoto?kweli?
No tulimpata my prince tukiwa na akili zetu timamu,tena kwenye mahusiano yalokuwa imara .sema alivyo zaliwa mtoto tu akasepa zake,akanambia yeye bado kijana mbichi nisimzeeshe na majukumu.akakata mawasiliano.nikapiga moyo konde nikalea mwanangu kwa upendo naamani kabisa.
Tena mtoto ana furaha muda wote yeye ni kucheka sababu sikutaka mapito niliyo pita yaathiri ukuajia wake.
ww ndio tatizo , unaenternain ujinga, kwann usimblock huyo jamaa, pia angalia mahusiano yako mapya anaweza kukuvurugia huyo mpuuzi, au bado unampenda umekuja kutuchora tu hapa ?Na hilo ndilo nalohofia,saivi kaona mwanangu kanona anamtamani,anadhani ni miujiza,ni kujinyima na kuhakikisha mwanangu anapata lishe bora na mazingira bora ya ukuaji,si kila mtu yuko tayari kujinyima akulele mtoto miaka hii
Kwako ni furaha ila jua kwa mtoto sio kitu kizuri ...mwambie mtoto utamlea ww ile awe huru kuja kumuona na kupata muda wa kukaa na mwanaye...Akifikisha umri wa kujitambua,sijamnyima kumwona mwanae,yeye kujiweka pembeni na kuishia kuchukua picha za mwanangu wattsup,bila kujua anakula nn wala anavaa nn hakumpi haki kumchukua eti kisa amependeza na anaona sasa wamefanana kama mapacha.
Una akili sana...umeongea kitu kikubwa cha hekima ila huyu dada alivyo mjinga ataangalia ppst za watu wanaomsapport ujinga wake....Mtoto sio matunzo tu, upendo wa baba na mama ni muhimu sana, huwezi nielewa mpaka uwe umepitia hayo. Watoto wote tulio lelewa na wazazi upande mmoja kuna kitu huwa kina miss inaathiri hata malezi ya watoto wetu.
Swala la msingi leo mwanao lakini mruhusu baba wa mtoto chance ya kumuona manaye! Hata kama hakutoa matunzo lakini baba yake ni baba yake tu, mimi baba yangu haku changia hata 1 shilling katika kakuzi yangu lakini nilipo fikisha miaka 28 nilimtafuta mwenye
hao watakuwa wanaume wa darHa haaa ndugu. Kuna watu hawana mishipa ya aibu. Kuna mtu namjua fika anaenda kumuona mtoto wake hampelekei hata pipi na hapo hajamuona miaka mitatu.
Wewe ndo wale wanawake waliolelewa na single parents...Ukimpa utakuwa pumbavvu, ilitakiwa asimuone Hata kama ni kwa mbali...acha hurums za kijinga
Ushauri wa kijinga kuwahi kusikia sasa hapo ina msaidia nn mtoto?? Watoto wanahitaji mapenzi ya wazazi wote sio pesa za wazazi woteKama hakutoa mahari na hakuoa mwanasheria hatasaidia.
.
.
Bidada shikilia msimamo wako. Tena mwambie mtoto si wake, na kama ulimpa mtoto jina la baba yake badilisha mpe jina lako. Wajinga sana hawa vidume sometimes.
Hatabmm niliwahi ku assume kuwa baba yangu alisha kufa imenitesa sana maishani mpaka nilipo amua kumtafuta mwambie amlee mwanae ila amruhusu baba wa mtoto ku participating katika malezi
LABDA KAMA UNATUDANGANYA, MTU ANAKUACHIAJE MIMBA MPAKA MTOTO ANAKUWA THEN ANATOKEA ANATAKA KUMLEA HALAFU UNASEMA NI MWANAE? HIVI AKILI ZIMEJAA KWELI? KAMA ALIIACHA MIMBA ANAJUAJE MTOTO BADO YUPO? KAMA UNGESHINDWA UKAITOA JE? YANI HUYO JAMAA INABIDI A ASSUME MTOTO HAYUPO, MAANA YAKE HAKUWEKA JITIHADA YEYOTE YA KUHAKIKISHA UHAI WA MTOTO, KAMA NI KWELI HAYA UNAYOYAONGEA HUYO JAMAA MPELEKE KWENYE VYOMBO VYA SHERIA ALIPE GHARAMA ZOTE ZA MTOTO MPAKA ALIPO KABLA YA CHOCHOTE! I WISH UNGEKUWA DADA YANGU!!!!! HUYO JAMAA HANA ADABU.
Mtoto anahitaji mapenzi ya wazazi wote pale tu anapokua na kunawiri? Umemfikiria mama aliyebeba mimba mwenyewe bila upendo wowote wa baba na mtoto akazaliwa mpk amekua ana afya nzuri hakupata upendo wa baba? Na mbaya zaidi baba yupo na anafahamu ana mtoto hawajibiki kwa chochote... Acha kabisa wewe bora ukae kimya maana huelewi situatiatio za wamama waliotelekezwa.Ushauri wa kijinga kuwahi kusikia sasa hapo ina msaidia nn mtoto?? Watoto wanahitaji mapenzi ya wazazi wote sio pesa za wazazi wote
Hahaha nimecheka sana,eti mkinipa challenge full kizungu ili msinibishie,hahah hahahAnataka wale wa kumpa sympathy tu,challenge no. Ukimpa challenge anasahau kiswahili full kizungu ili usimbishie
Mtu ana gari,ana kazi bado anahangaishana na mwanaume asiyemjali wala kumdhamin ya nn sasa.