Nina rafiki yangu wa kike ambaye nimefahamiana naye miezi saba iliyopita,ambaye tumekubaliana kuoana.Kwa kipindi chote tumekuwa tukitembeleana na kuchat bila kufanya mapenzi.Hivi karibuni tumeanza kufanya mapenzi.Lakini kila mara amekuwa akinilalamikia kuwa simfikishi safari yake.Chakushangaza wiki iliyopita ameniambia kuwa ili nimfikishe safari yake basi nimfanye kinyume na maumbile kwa kuwa ndivyo alivyozoea lakini mimi sijawahi kufanya hivyo.Je mnanishauri nifanyeje?