mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 771
Mume bora ni yule anayemfksha mke wake na kutimiza aja zake zote.Km hauwez achana naye
hili jibu ni pana sana afu zuri.
Mume bora ni yule anayemfksha mke wake na kutimiza aja zake zote.Km hauwez achana naye
Wimbo mzuri sana.Ahsante mkuu kutuwekea,ila namna ya kuuimba tatizo.Kama unaweza weka muziki wake(nota),au yeyote mwenye muziki wa huu wimbo.
TAZAMA RAMANI!
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
Nina rafiki yangu wa kike ambaye nimefahamiana naye miezi saba iliyopita,ambaye tumekubaliana kuoana.Kwa kipindi chote tumekuwa tukitembeleana na kuchat bila kufanya mapenzi.Hivi karibuni tumeanza kufanya mapenzi.Lakini kila mara amekuwa akinilalamikia kuwa simfikishi safari yake.Chakushangaza wiki iliyopita ameniambia kuwa ili nimfikishe safari yake basi nimfanye kinyume na maumbile kwa kuwa ndivyo alivyozoea lakini mimi sijawahi kufanya hivyo.Je mnanishauri nifanyeje?
mkuu Ndiba, umemaliza kila kitu. hahahaa