pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,685
Tall and Dark men.. are on high mandate, watakusumbua..LOL!Fantasy hizi kazi kweli. Me nikikapata kaandunje kangu kakuendana na mimi hehe , ntajishaua nako kama sio mie niliyekuwa namdream a "tall and dark man" lol
Asije akaolewa na kaka wa watu afu hata kuongozana naye hataki (she can't publicly acknowledge him kwamba ni mumewe). Though it's better kuangalia features ambazo ni za long term (IMO)
Tena huyu andunje akitemwa, apige magoti kumshukuru Mungu.
-nothing Good gets away
