Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

mwache aendelee kuchagua, labda atapata mwanaume anayemtaka, ingekuwa binadamu wanatengenezwa kiwandani angetoa order with her specification. we are human, no one is perfect in under the sun.
 
We hujamwelewa tu mwenzio atakuwa anamaanisha urefu wa kwenda mbele
hapo kweli kutakuwa na tatizo jingine labda haridhishwi? inambidi achague nini anataka akitaka kupigwa mabao tu atafute vijana mtaani wapo wengi ina hawana kazi wala hela hawana.
 
Nina huyu cuzo wangu ana bwana, the guy ana kazi nzuri tu, kapole, he is a gentleman, anampenda sana my cuzo like sana yani and all that (kwa mimi navyomuona).

The problem ni kwamba cuzo wangu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.

Back then walikua wanapenda sana tu, my cuzo alikuwa haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alikua mkoa mwingine kikazi.

I started noticing changes the guy alipokuja Dar es Salaam, first time cuzo akaomba twende wote, basi tukameet tuka have fun hivo.

Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa.

Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae kumuuliza why, anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.

Mimi nikamwambia kama you love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine, akasema hana kingine zaidi ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasababu hiyo.

I pity the guy coz yani ni kapole, kahandsome tu sema ndo hivyo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.

Basi the guy huwa ananiuliza kama my cuzo truly loves him, kama pia humuongelea nikiwa nae basi mmi naishia kumpa moyo tu.

Nauliza jamani is this right?

Wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?

Wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii?
Siyo mbaya, ni hisia zake tu huyo dada, kama hapendi watu wafupi fine, atafute mrefu. Life is short, achague anachopenda kama ataweza kuchagua.
 
hapo kweli kutakuwa na tatizo jingine labda haridhishwi? inambidi achague nini anataka akitaka kupigwa mabao tu atafute vijana mtaani wapo wengi ina hawana kazi wala hela hawana.
hawajawahi kuduu
 
hiyo medium inaweza kuwa ndo mfupi kulingana na mtoa mada.

teh teh
Sawa
ni vizuri wapeana space kuliko kupeana false hopes then baadae usaliti unaingia katikati

Jamaa abak kama a friend with benefit
 
Sawa
ni vizuri wapeana space kuliko kupeana false hopes then baadae usaliti unaingia katikati

Jamaa abak kama a friend with benefit
nimekupenda bure kabisa. dunia hii huna sababu ya kuumiza moyo ya mwingine. waambiane ukweli and then wa remain good friends.

take my likes mkuu.
 
HUU ni utoto!HAWA ndio mabinti wanaopenda ubrazaman tu ktk maisha ila sio maisha.
toka lini vigezo vya ndoa vikawa kimo?tupostie picha za wazazi wako TUONE.
wewe endelea na ufuska wako usitake kueleza FIKRA ZENU mnazodanganyana na masistadu wenzako.
Hao waliokushauri eti, mtu mwenyewe mfupi,mara mweusi siku zijazo utakuta wapo nae na maisha yanaenda!
jiongeze Dada,ukiwa unapeleka mambo yako kwa mashoga zako,maisha utayaona hivihivi wenzio wanakwenda wew utasubiri.
basi mimi ni mfupi ,mke wangu ni MREFU sana ,maisha yanaenda bila shida!kama angesikiliza mashoga labda Leo angekuwa anauza baa.
kumbe ni kweli watu wafupi wana hasira sana.

teh teh

natania tu usirushe mawe.
 
Sio kosa kwa binti kuchagua au kuweka vipaumbele vya mume anayemtaka, pesa si kitu ktk mapenzi sio siri muonekano wa mume na mke una nafasi kubwa sana ktk maisha ya ndoa na ndio maana sikuhiz ndoa hzijdumu kwani watu husahau mionekano ya wenzi wao na kushangilia fedha!
Big up to her anajielewa na anajua kuwa kupanga ni kuchagua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom