Anatafutwa mpenzi wa week moja kama bundle

Na mlivyo na njaaa...hapo mshajipeleka PM mwisho wa siku mnaanza kuliaa liaa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakimbilia PM alafu wanakuja kuomba ushauri tena alafu wanashauriwa na waliowakimbilia PM.
 
Ushampata ama bado nafasi ipo? Kuogelea usijali maana wengine tumezaliwa pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…