Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Evelyn Salt, umekosea kum CC mwaJ, tungefanya kimya kimya
Shaka ondoa akiishtukia nitakupa mbinu nyingine!!!!!!!!!!!!
Evelyn Salt, umekosea kum CC mwaJ, tungefanya kimya kimya
rafiki kumbe Bujibuji ndo shem?Tatizo siamini kama kweli kuku hana mapembe! Bado napekua najua ntayaona tu!
usinichonganishe na mwaJ, ni rafiki yangu wa ukweli, lol!
mwaJ alivyo na wivu, ataanza kuhoji kwa ukali kuwa nimepata wapi namba yako.Bujibuji
ukiweza mpe namba ya simu yangu ya kiganjani
tutaelekezana na mambo yatakwenda sawa hadi utaamini wewe mwenyewe kuwa
hauna ukosefu wa nguvu.
kila nikilala mwaj huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??