Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Mentor afadhali umekuja ndugu yangu, eti dawa ni nini?? Nimepata tetesi kuwa houseboy kaanza kumvutia mama watoto wangu mwaJ, wala sijaambiwa na Mamndenyi, nimesikia hukooo kwa majirani

dawa ni kumwambia Evelyn Salt awe anakutumia message ambazo mwaJ anatamani kuzikuta maana kama si hivyo ataendelea tu kuzitafuta!
Na neno linasema, "kila atafutaye hupata!"
 
Last edited by a moderator:
dawa ni kumwambia Evelyn Salt awe anakutumia message ambazo mwaJ anatamani kuzikuta maana kama si hivyo ataendelea tu kuzitafuta!
Na neno linasema, "kila atafutaye hupata!"

Buji akiitumia hii njia nina uhakika wa kumnasa kilaini. zile Bwana asifiwe zake na Zion Daughter zitakuwa zimefika ukingoni.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi namngoja tu mwaJ abwage mzigo nile zote zabibu.Ngoja nikuvujishie siri.MAFUTA YA UBUYU
Ni mafuta ya asali yalifanyiwa utafiti wa kina wa kisayansi na wanasayansi mbalimbali,ni mafuta ya asili yasiyochanganywa na kitu chochote kile.Mafuta haya hutokana na kukamuliwa kwa mbegu za ubuyu.
Mafuta ya ubuyu yana faida nyingi katika mwili wa mwanadamu,haijarishi mwanaume wala mwanamke,
Mafuta haya yana faida mbalimbali kama ifuatavyo;-
1.huzibua mirija ya damu iliyozibwa na mafuta.
2.mafuta ya ubuyu pia husaidia uzalishwaji wa mbegu za uzazi kwa wanaume na kwa wanawake pia.
3.vilevile mafuta ya ubuyu husaidia kurutubisha ukuaji wa kucha pamoja na nywele.
4.pia mafuta ya ubuyu huyeyusha mafuta yasiyo na kazi mwilini hivyo husadia kupunga mafuta mwilini.
5.mafuta ya ubuyu pia husaidia katika kupunguza uzito.
6.pia mafuta ya ubuyu husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
7.mafuta ya ubuyu husaidia katika uzalishwaji wa seli mwilini.
8.pia yanasaidia katika uzalishaji wa vimelea vya uhai yaani CD4.
Mafuta ya ubuyu pia yanaweza kutumika katika kupaka mwilini kutokana na faida zifuatazo;-
1.husaidia kulainisha ngozi.
2.pia husaidia katika uzalishaji wa vitamin D kwenye ngozi.
3.pia ni mazuri kutumika kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
4.pia huleta unyevu unyevu kwenye ngozi iliyokauka
inavoshauriwa
JUICE YA UBUYU

Ni juisi itokanayo na unga wa ubuyu bila kuongeza kitu chochote cha ziada,juisi ya ubuyu ni moja ya vitu vitokanavyo na ubuyu ambavyo na ubuyu,ubuyu ni tunda lenye vitamin C kuliko matunda mengine yote,hivyo inashuriwa kutumia juice hii mara kwa mara.juisi hii inamanufaa kadhaa mabayo ni pamoja na;-
1.hongeza na kuleta hamu ya kula.
2.huongeza kumbukumbu kwa mwanadamu
Juisi hii yaweza kutumika muda wowote ule ambao mlengwa atajiskia kutumia….

MAJANI YA UBUYU
Ni jani litokanalo na mche wa ubuyu au mti wa ubuyu,ni majani yenye faida mbalimbali mbali na zile faida za juisi ya ubuyu.
Faida za majani ya ubuyu ni kama zifuatazo..
1.majani ya ubuyu yanaweza kutumika kama mboga
2.pia yanatumika kutibu vidonda vya tumbo.
3.kuboresha mbegu za kiume na za kike
4.pia inatibu typhoid sugu.
5.huongeza nguvu mwilini.
Kupungua kwa umri kuna enda sambamba na kuongezeka kwa umri. Mamndenyi, hata magari huwa yana depreciate.
 
Mkuu bujibuji yamekukuta!! Anajihakikishia usalama na hatamu yake ati!! Ila akina mama kwa kupekua simu ni hatari!! Wanalinda eti sungusungu usiku simu tu!! Ila ukiona hivyo jua kuna kitu anahisi na ninakuhakikishia kwa wanaume utashikwa tu siku moja!! Wanawake kwa machale bwana ni hatari mno!
 
485087_423186201104904_1568680393_n.jpg
Mi nimeongelea anatafuta nini kwenye simu yangu, sijasema uingilie ndoa yangu
 
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??

Badilisha simu, nunua ya tochi tafuta na betrii mbovu ili kila ukifika home inazimika chaji kwisha habari yake na utakuwa mwisho wa upekuzi wake!!!!!!!!!
Cc: mwaJ
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom