Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

ukimkuta ameishika usimuulize mkate kibao then endelea kulala huone kama atarudia kuchezea sm yako.
Tutor tatizo mwaj kazuzuliwa na house boy, house boy mwenyewe ni baunsa kuanzia juu hadi chini, hebu muone.
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Punguza vyakula vya mafuta piga zoezi la wastani kandamiza korosho,karanga na maziwa.pumzisha mwili usiuchoshe.then muite mama.hahaha atajuta hilo ligwaride.
 
rafiki kumbe Bujibuji ndo shem?
yaani nikionaga hiyo avatar huwa lazima nitabasamu maana huyo mtu huwa ananifurahisha sana

We we weeeeeeee! Bujibuji wala sio shem wako shosti! Sijui kazuka kutoka wapi, kaja kuchanganya watu! Mie nilikuwa tu nasadia kumpepea wakati mapigo yake ya moyo yalipobadilika na kuanza kupigia nyayoni pale alipogundua kaachwa kwenye mataa na Madame B sababu ya komandoo. Shem wako wa ukweee ni Mwita Maranya na watoto wetu ni Zion Daughter na snowhite.
 
mwaJ, mara hii watoto wangu unampa house boy Mwita Maranya kisa tu amejazia juu na chini?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Simple, badilishaneni handsets, toeni lines zenu
 
anaangalia comment zako za jf na mada unazotuma jf basi
 
kila abira huchunga mzigo wake!....sema anajitakia na kujitaftia presha!.......
 
Mwita Maranya njoo huku uone huyu Bujibuji anavyokuletea dharau! Eti anadai watoto wako Zion Daughter na snowhite ni wa kwake. Njoo uoneshe ushujaa wako wa jadi mume wangu! Lol!
mwaJ mama watoto wangu, umenichoka hadi unaniitika mkora aje kunimaliza? Kumbuka tuliko toka, usidanganyike na ubaunsa wa chini mke wangu, pia kumbuka ivumayo haidumu.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ mama watoto wangu, umenichoka hadi unaniitika mkora aje kunimaliza? Kumbuka tuliko toka, usidanganyike na ubaunsa wa chini mke wangu, pia kumbuka ivumayo haidumu.

Jamani Madame B ulimpa nini Bujibuji mbona amechanganyikiwa hivi? Tangu umwache kwenye mataa jana ulipotoa tamko la kumkubali komandoo kawa chizi kabisa. Kwanza kaanzisha huu uzi eti mie napekua simu yake. Kwa vile nilikuwa najua akili yake haijakaa sawa, nikajifanya hamnazo nikawa namjibu as if anajibiwa na mkewe. Mwenzangu akili zimerudi lakini naona bado anang'ang'ania mie ni mkewe na wanangu ni wake ili hali watoto ni wangu na Mwita Maranya. Learned brother Ruttashobolwa njoo utatue hii kesi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom