Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Bujibuji
ndo umwambie thatha,
ndoa yenyewe ya miaka miwili tayari depreciation
atakuelewa kweli.
Anajua.
Yaani vibarua wamegoma shambani, kwa hiyo mimi nilime, nikachunge ng'ombe, nikamue, nisafishe mabanda ya kuku, nikakate kuni... yote haya nafanya ili mwaJ asichoke mapema, lakini yee haoni.
 
Last edited by a moderator:
HorsePower napungukiwa chaji mwenzako, si unajua tena android ambavyo hazikai na chaji?

Hilo ni jibu zuri, mwambie kila anapoperuzi android yako kwa muda mrefu inapungukiwa charge hivyo basi awe anaicharge kama anapenda kuitumia mara kwa mara ili kukusaidia wewe usije ukakosa mawasiliano. Pia mkumbushe kuwa kuperuzi huku imewekwa kwenye charge hu-haribu betri na si njia sahihi ya matumizi ya android. Nafikiri atakuelewa.
 
Bujibuji yeye hakufuata hayo kwako
kimemleta kitu kimoja tu,
hivyo hata kule kwa baba mwaJ mbona kaviacha.

Anajua.
Yaani vibarua wamegoma shambani, kwa hiyo mimi nilime, nikachunge ng'ombe, nikamue, nisafishe mabanda ya kuku, nikakate kuni... yote haya nafanya ili mwaJ asichoke mapema, lakini yee haoni.
 
Last edited by a moderator:
Sasa simu yangu inaongezaje imani?

chezea jamii ya kike...
ila mungu wa ajabu sana...mie wangu naweza nikaweka password kum test ma wala asiombe simu yangu miez 4 mfululizo
ila mimi sasaaa...simu ake naichukuaga gafla tuu...

.awa watu ishi nao kwa akili
 
Bora umwambie maana yaonekana halijui hilo.
hiki ndicho utakacho ambulia

depositphotos_2433182-Girl-is-angry-at-phone.jpg
 
anatafuta tuhuma labda...
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??
 
hii elimu hii
dah, nani mjinga ni mwalimu au ni mwanafunzi?
 
Bujibuji huo ndo ukweli mkubwa
kaa sawa kabla house boy hajakamata usukani.
ukaamua kujitolea tangazo la kifo mwenyewe.
Sasa nifanyeje kuongeza performance? Nimekula vitunguu swaumu na asali bilabila, nimekula mbegu za matikiti bila bila, ngoja nimtafute mganga MziziMkavu anipe minjia ya tiba mbadala, wakati huohuo nijikabidhi maombini na Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha haaaaaaa Bujibuji umenimaliza, sina hamu uwiiiiiiiiii, nakufa kucheka jamani dah.

Copy: MziziMkavu
okoa jahazi mkuu kijana kakwama.

Back
Top Bottom