Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
..cjakusoma hapo ktk bold..samahaniKuna jamaa alikosea, sehemu ya Utokako, yeye akaandika Made in China, akijua kuwa anamaanisha ametokea china
wakati niko darasani unanielekeza nilikua nawaza kwingine....hata mimi nini.........embu acha hizooo
hivi si nilishawahi kukuelekeza kumention jina la mtu. umesahau au?
wakati niko darasani unanielekeza nilikua nawaza kwingine....
...mbn ume...nani yangu..?...Nioneshe rafiki yako nitajua ulivyo...![]()
...mbn ume...nani yangu..?
Bujibuji sina uhakika kama ukiisoma hiyo sentesi unaielewa, iko very very clear.
Pamoja na kuwa si kweli lakini kama ungekuwa umepita jandoni ungetambua kuwa hapa umejidhalilisha sana, baba mwenye nyumba hawezi kushare sembuse kuporwa mke na houseboy, haya ndio madhara ya kukulia kwa mtogole hata self discipline hakuna.
Nimeshakuja mahabuba wangu mwaJ huyo bujibuji amechanganyikiwa wala hajielewi elewi ndo maana anavamia familia za wengine, atakuwa alidanganywa sehemu kwamba yeye ndiye mwenye watoto lakini ghafla kimenuka na kuambiwa achukue time na watoto si wake!! matokeo ya kupenda vya bure mjini hapa lazima uendelee kuumbuka Bujibuji
We Bujibuji utoke wapi na mke wangu bana mbona unakuwa mgumu wa kuelewa na mwepesi wa kusahau? kama unataka msaada we sema tu tutakusaidia kuitafuta familia yako kama ipo.
Ahaaa kumbe haya yote chanzo ni Madame B?? ndio maana nikasema tangu awali huyu bujibuji anapenda kuishi kwa slope mjini hapa komandoo wa kichina keshachukua jimbo sasa amechanganyikiwa kila mwanamke anayemuona anadhani mkewe. Labda tumuombe madame b asaidie kumtafutia pa kujihifadhi walau kwa muda huu hadi akili yake itakapomrudia kwani vinginevyo tunaweza kumpoteza huyu.
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??
Mapacha tumewapata wapi?
Bujibuji vipi bado haujapona? Moyo bado unadundia nyayoni?Mapacha tumewapata wapi?
Mbona ulikuwa ukinihubiria kuwa kina Zion Daughter ni wanangu wa mbegu na Mwita Maranya mtarimno mkubwa umelala doro?
mwaJ j hebu click hapa chini kwenye hii linkBujibuji vipi bado haujapona? Moyo bado unadundia nyayoni?
mwaJ j hebu click hapa chini kwenye hii link
http://ia600209.us.archive.org/19/items/BusuPandeTatu/03BusuPandeTatu.wma
[BUSU PANDE TATU - BIMA]
(Bima Lee, mwaka 1989 kibao kilitungwa na Max Bushoke, kuimbwa
nae pamoja na Jerry Nashon, Athumani Momba, na Bwana Mugunda)
(Bushoke)
vipi penzi lajisuta lenyeweeeeeee
vipi sasa mbona lajisuta lenyewe
ulipokubali kunipenda ah ah
hukulazimishwaa
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
mwanzoni ilikuwa penzi motomoto
busu pande zote tatu za uso ohooooo
(wote)
ukweli nimeuona kwenye hili penzi letu
mwenye pendo la udanganyifu sasa ameonekana
kwenye mapenzi ya kweli
watu hushirikiana sheri
kwenye dhiki na faraja
kote hushirikiana
viko wapi sasa jamae
maneno ulionieleza
NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE TENA
KUMBE YOTE NI UONGO
(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe.. mimi nawe mamaa
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani
mamiii mamiiiii
(wote) Kibwagizo
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
nimeamini
yaweza vunjika wakati wowote
(Nashon)
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
duniani duniani siku hizi
I love you busu nyingi ........ uongo huo
mamii mamiii
(wote) kibwagizo
(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani
mamii mamii
(wote) kibwagizo