Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

mwaJ bure gharama shosti

Mie nimekuchagua wewe Nazjaz kukukabidhi Bujibuji maana najua wewe utafanikisha matibabu ya maradhi yake ya moyo (sio yale ya kutibiwa India lakini maana yeye anataka kupelekwa "nchi za nje - MALAWI") yaliyosababishwa na Madame B kwa hiyo sio wa bure kihiiiivyo.
 
Last edited by a moderator:

mwaJ nimepata mbinu mpya, Madame B anahitaji nusu kilo tu ya limbwata na robo kilo ya shuntama, mbona mwenyewe atakuja kwangu kwa magoti!!!
Hamna cha mjeda wala Ben Saanane wote atawasahau.

putti.karl.jpg
 
Last edited by a moderator:
haya makubwa sasa, anko buji ameanza kuchizi
Mie nimekuchagua wewe Nazjaz kukukabidhi Bujibuji maana najua wewe utafanikisha matibabu ya maradhi yake ya moyo (sio yale ya kutibiwa India lakini maana yeye anataka kupelekwa "nchi za nje - MALAWI") yaliyosababishwa na Madame B kwa hiyo sio wa bure kihiiiivyo.
 
anatafuta namba geni lenye jina la kike
anatafuta sms za mapenzi
anatafuta ugomvi wa mahaba niue
 
mwaJ nimechekaje mie, kama naangalia sinema vile ya bushman

Jichekee tu mwaya, maisha yenyewe haya, full stress. Yaani itabidi nii support JF maana ndio pumzikio nikishachoshwa na mkoloni.
 
Heshima yako mkuu. nmekukumbuka sana. mia
 
Ha ha ha haaaaaa! We una fujo sana mtu wangu! Msalimie rafikiyo mzulu, jina limenitoka.
Yule bwana mdogo anaitwa Thanda. msalimie yule rafikio, jina lake limenitoka. mia
 
Last edited by a moderator:
Alaumiwe aliyegundua simu za mkononi. Bora tungebaki na landline zetu
 
Back
Top Bottom