Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

We we weeeeeeee! Bujibuji wala sio shem wako shosti! Sijui kazuka kutoka wapi, kaja kuchanganya watu! Mie nilikuwa tu nasadia kumpepea wakati mapigo yake ya moyo yalipobadilika na kuanza kupigia nyayoni pale alipogundua kaachwa kwenye mataa na Madame B sababu ya komandoo. Shem wako wa ukweee ni Mwita Maranya na watoto wetu ni Zion Daughter na snowhite.
Bujibuji sina uhakika kama ukiisoma hiyo sentesi unaielewa, iko very very clear.

Tutor, nilihamia kwa hausegirl, house boy Mwita Maranya akanipiga kipigo cha mbwa mwizi eti namuingilia kwenye himaya yake.
Nimemfukuza kazi kasema hatoki wala haondoki, yeye ni part and parcel ya mama watoto mwaJ

Pamoja na kuwa si kweli lakini kama ungekuwa umepita jandoni ungetambua kuwa hapa umejidhalilisha sana, baba mwenye nyumba hawezi kushare sembuse kuporwa mke na houseboy, haya ndio madhara ya kukulia kwa mtogole hata self discipline hakuna.

Mwita Maranya njoo huku uone huyu Bujibuji anavyokuletea dharau! Eti anadai watoto wako Zion Daughter na snowhite ni wa kwake. Njoo uoneshe ushujaa wako wa jadi mume wangu! Lol!

Nimeshakuja mahabuba wangu mwaJ huyo bujibuji amechanganyikiwa wala hajielewi elewi ndo maana anavamia familia za wengine, atakuwa alidanganywa sehemu kwamba yeye ndiye mwenye watoto lakini ghafla kimenuka na kuambiwa achukue time na watoto si wake!! matokeo ya kupenda vya bure mjini hapa lazima uendelee kuumbuka Bujibuji

mwaJ mama watoto wangu, umenichoka hadi unaniitika mkora aje kunimaliza? Kumbuka tuliko toka, usidanganyike na ubaunsa wa chini mke wangu, pia kumbuka ivumayo haidumu.

We Bujibuji utoke wapi na mke wangu bana mbona unakuwa mgumu wa kuelewa na mwepesi wa kusahau? kama unataka msaada we sema tu tutakusaidia kuitafuta familia yako kama ipo.

Jamani Madame B ulimpa nini Bujibuji mbona amechanganyikiwa hivi? Tangu umwache kwenye mataa jana ulipotoa tamko la kumkubali komandoo kawa chizi kabisa. Kwanza kaanzisha huu uzi eti mie napekua simu yake. Kwa vile nilikuwa najua akili yake haijakaa sawa, nikajifanya hamnazo nikawa namjibu as if anajibiwa na mkewe. Mwenzangu akili zimerudi lakini naona bado anang'ang'ania mie ni mkewe na wanangu ni wake ili hali watoto ni wangu na Mwita Maranya. Learned brother Ruttashobolwa njoo utatue hii kesi.

Ahaaa kumbe haya yote chanzo ni Madame B?? ndio maana nikasema tangu awali huyu bujibuji anapenda kuishi kwa slope mjini hapa komandoo wa kichina keshachukua jimbo sasa amechanganyikiwa kila mwanamke anayemuona anadhani mkewe. Labda tumuombe madame b asaidie kumtafutia pa kujihifadhi walau kwa muda huu hadi akili yake itakapomrudia kwani vinginevyo tunaweza kumpoteza huyu.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Nimesoma mara 10 sijaambulia kitu!

Mimi mwenyewe sijaelewa kabisaaaaaaaaaaaaa! Bujibuji mm sitaki kurushwa rushwa moyo wangu na haya majibu ya form four, maana mwanangu yuko form four mwaka huu,nakwambia sitaki kuniua kabla ya wakati, Loh!
Mimi pia naunga mkono huyo Mkeo kukupekua kwenye simu yako maana inaonyesha kutwa unahangaika na wanafunzi , so Nguvu zote zinaishia huko.
 
JF never boring.
Bujibuji sina uhakika kama ukiisoma hiyo sentesi unaielewa, iko very very clear.

Pamoja na kuwa si kweli lakini kama ungekuwa umepita jandoni ungetambua kuwa hapa umejidhalilisha sana, baba mwenye nyumba hawezi kushare sembuse kuporwa mke na houseboy, haya ndio madhara ya kukulia kwa mtogole hata self discipline hakuna.

Nimeshakuja mahabuba wangu mwaJ huyo bujibuji amechanganyikiwa wala hajielewi elewi ndo maana anavamia familia za wengine, atakuwa alidanganywa sehemu kwamba yeye ndiye mwenye watoto lakini ghafla kimenuka na kuambiwa achukue time na watoto si wake!! matokeo ya kupenda vya bure mjini hapa lazima uendelee kuumbuka Bujibuji

We Bujibuji utoke wapi na mke wangu bana mbona unakuwa mgumu wa kuelewa na mwepesi wa kusahau? kama unataka msaada we sema tu tutakusaidia kuitafuta familia yako kama ipo.

Ahaaa kumbe haya yote chanzo ni Madame B?? ndio maana nikasema tangu awali huyu bujibuji anapenda kuishi kwa slope mjini hapa komandoo wa kichina keshachukua jimbo sasa amechanganyikiwa kila mwanamke anayemuona anadhani mkewe. Labda tumuombe madame b asaidie kumtafutia pa kujihifadhi walau kwa muda huu hadi akili yake itakapomrudia kwani vinginevyo tunaweza kumpoteza huyu.
 
Mimi mwenyewe sijaelewa kabisaaaaaaaaaaaaa! Bujibuji mm sitaki kurushwa rushwa moyo wangu na haya majibu ya form four, maana mwanangu yuko form four mwaka huu,nakwambia sitaki kuniua kabla ya wakati, Loh!
Mimi pia naunga mkono huyo Mkeo kukupekua kwenye simu yako maana inaonyesha kutwa unahangaika na wanafunzi , so Nguvu zote zinaishia huko.
Lisa yamekuwa hayo?
Mwanao mbona yuko bize na Mbuzi Mzee lakini hatusemi?
Mipango yote alifanyiwa na amu pamoja na Paloma. Kipaji Halisi alijitahidi kuzia zoezi hilo lakini akashindwa
 
Last edited by a moderator:
Lisa yamekuwa hayo?
Mwanao mbona yuko bize na Mbuzi Mzee lakini hatusemi?
Mipango yote alifanyiwa na amu pamoja na Paloma. Kipaji Halisi alijitahidi kuzia zoezi hilo lakini akashindwa

ungejua huyo unayemuita anajitahidi kuzuia zoezi ndio anamega mwanaye.......wala usingesema! Mimi na amu tulikuwa tunampa ujuzi tu wa kukaa na hawa viumbe ila huyo Kipaji Halisi sasa............mweeeeh
 
Last edited by a moderator:
Anza kumwamsha ucku unaomba mechi,usimpe muda kupumzika,ataacha.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
Lisa yamekuwa hayo?
Mwanao mbona yuko bize na Mbuzi Mzee lakini hatusemi?
Mipango yote alifanyiwa na amu pamoja na Paloma. Kipaji Halisi alijitahidi kuzia zoezi hilo lakini akashindwa
Bujibuji wewe! haya tu! unaweza ukafanya mzaha mwisho ukatumbua usaha! Na Huyo Mbuzi Mzee atanikoma, nitamtafuta kwa tochi ya kurunzi nikishindwa naenda sumbawanga kumtafutia b.sha la sh 200 tu, linamtosha kuhangaika nalo. Ndipo atakoma kuchezea watoto wa wenzie
 
Back
Top Bottom