Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

Hili ni janga kubwa kwa taifa inamaana hawapumui ? Kila week? Duh
 
MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.

Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!
Siku nyingine wasisubiri zitoke kwa haja kubwa.
Watumie vifaa vya ncha kali kuzitoa kete kwa mkupuo.
Kweli tumechoka!!!
 
Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!
Invisible mosi huyo mwanamke atakuwa ametumwa na wale wafanya biashara wa kati tu ambao nao wanajulikana lakini wanashirikiana na Polisi wa kitengo ambao wanawapa support ya juu.. Huo mzigo uliokamatwa utarudishwa kwa hao wafanyabiashara na hao polisi watachukua chao na ngoma itaisha.. Yaani inasikitisha lakini ndo ukweli na mzigo huo ambao umetangazwa umekamatwa utaondoka tena kwenda kuuzwa..
 
Last edited by a moderator:
Kwani huyo mwanamke ni bubu, kiziwi na kipofu au vipi? Maana haingii akilini kwa pressre iliyopo bado akakakubali kula sembe bila kitoweo.
 
MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.

Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!

abanwe kwani huyu ni wa kwanza.. hao wengine washataja chain zao!!??

watz tu wasahulifu sana yashapita mengi sana
 
Nchi imewekwa mfukoni na watu wenye pesa chafu! tumeshuhudia jinsi ambavyo walivyotumia nguvu kubwa kuhakikisha mpendwa wao anaendelea kudumaza upinzani....
 
Mbona Mjomba alisema anawajua wauzaji na waagizaji wa madawa ya kulevya?
 
Mkuu invisible hivi kweli watanzania hawasikii wenzao wanayoyapata kutokana na madawa ya kulevya??? Tena anaelekea uchinani? Kweli watu wameshakubali "liwalo na liwe". Huu msemo wa mheshimiwa umazaa matatizo mengi sana. Tatizo kubwa inakuwaje hadi leo hatujawahi kusikia drug dealers wa Tanzania wamekamatwa?? Hayo majina yao ni makubwa kiasi gani hata Usalama wa Taifa na Polisi hawawezi kuyafikia na kuwafikia wahusika?? Tunakubali kushindwa kiasi hiki? Hata kupekuliwa tu hatujawahi sikia kuwa punda kakamatwa halafu bosi wake akapekuliwa??? Kwenye mitandao ya kijamii maboss wamekuwa wakitajwa kila wakati, hata hapa leo ukiweka thread kuna watakaotajwa hapa na walishatajwa kitambo tu lakini wapi?? Mheshimiwa Rais alishapewa majina lakini wapi?? Ni mzimu gani upo ndani ya madawa ya kulevya??? Au wanalipa kodi kubwa sana kiasi kwamba serikali itakosa mapato??? Inasikitisha sana.

mzimu AROSTO!
 
Hili swala Serikali haina nia ya kushughulikia na tena tukiendelea kushinikiza watakamatwa watu wenye majina kidogo hapa mjini ili kuwarizisha kuwa wanafanya kazi.
Invisible sioni namna yoyote ya hili kushughulikiwa ndio maana watu hawana uoga hata chembe ili ujue wanajua wanalindwa na nani!
 
Last edited by a moderator:
hili swala serikali haina nia ya kushughulikia na tena tukiendelea kushinikiza watakamatwa watu wenye majina kidogo hapa mjini ili kuwarizisha kuwa wanafanya kazi.
invisible sioni namna yoyote ya hili kushughulikiwa ndio maana watu hawana uoga hata chembe ili ujue wanajua wanalindwa na nani!

walitakiwa waanze na kauli ya kapuya... Watoto wetu.wanauza unga na hawafanywi kitu.
 
Last edited by a moderator:
MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.

Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!
inasikitisha kuona vijana hawajifunzi toka kwa wenzao....kila siku ni yale yale yanajirudia. tamaa za maisha mazuri na uhuni wa mjini unawaingiza katika shighuli zenye madhila makubwa kwa maisha yao...tunahitaji sheria ya kunyonga hawa watu maana uharibifu wao kwa vijana wetu ni mkubwa.
 
walitakiwa waanze na kauli ya kapuya... Watoto wetu.wanauza unga na hawafanywi kitu.
usimlishe mtu maneno mtu muungwana na mstaarabu huongea ukweli daima kapuya ni mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuongea huo ujinga
 
acha kutoa povu bwana mdogo... Hujui kinachoendelea tz. Hebu kaoge uende.tution
 
MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.

Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!

Kwa kuwa kakamatwa Tanzania na siyo China, basi huyo yuko safe kabisa ndugu zake wasiwe na wasiwasi kwa maana walioshika dora (CCM) ndiyo wauza unga
 
acha kutoa povu bwana mdogo... Hujui kinachoendelea tz. Hebu kaoge uende.tution
sijui nini? hayo maneno yaliyoripotiwa magazetini na ya uongo mbona viongozi wenu wanashriki liwati na shirki hamsemi?
 
Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!

Wakubwa ndipo wanapoponea sasa mtandao utajulikana kweli?
 
"Ni upepo tu, utapita" Mwisho wa kunukuu!!

Nchi hii aliyeiroga ashakufa aisee.... Kila siku ni wimbo wa Madawa ya Kulevya!!!!
 
Back
Top Bottom