NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Pamoja na dhambi zake zote bado kaokolewa, China alikua anaenda kunyongwa huyu maana asingepita hata kwa uchawi, zile technology pale airport hata mchawi akiroga machine itadaka tu, we ushawahi ona mashine inarogwa wapi.
Sasa ngoja tuone kama serikali yetu nisiyo na imani nayo kama itasikiliza hii kesi au la.. Toka ndugu yangu alazwe polisi siku moja kwa kosa la kuwa kwenye fensi ya nyumba yake usiku, afu mkuu wa polisi anamwambia ati Nimechoka nataka nikalale ntakusikiliza kesho.. Nchi hii nuksi tu, nikipata uraia kwingine nahama..