Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

Anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar

Hivi ina maana akiwa anakunya kunakuwa na watu wanamwangalia au huwa inakuwaje hasa?

Na akishakunya ina maana wanaanza kuvitafuta hivyo vidonge kwenye hayo makimba yake au inakuwaje hasa?

Na wanavitafutaje hivyo vidonge katikati ya makimba? Huwa wanavaa vile vi mask vya puani kuzuia kunusa hiyo harufu ya makimba au inakuwaje hasa?
Kheeee heeee heeee hee!

Lazima anakunywa juu ya gazeti na huku amezungukwa na askari... Then kila kimba linaguswa guswa kuona kama kuna kete ndani yake..
 
sijui nini? Hayo maneno yaliyoripotiwa magazetini na ya uongo mbona viongozi wenu wanashriki liwati na shirki hamsemi?

viongozi wetu.. Mimi na nani? Na hao viongozi ni wapi/kina nani!?
 
Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!

mkuu, hapo juu kwenye red....are you serious? I dont think so.

sana sana utasikia.......

1. Nzowa analalamika
2. Mwakyembe analalamika
3. waziri wa mambo ya ndani analalamika
4. Pinda naye analalamika
5. JK ndiyo usiseme kabisa!!
 
Huu ni mtihani mwingine kwa maIGP Mangu na Kaniki.

Mangu atahakikisha vijana makachero ambao walikuwa wanachakachua uchunguzi sasa ndio waanze kazi rasmi na tunarudi enzi ya Harun Mahundi.

Mkuu huyu HAPO kwenye red nae si amekamatwa ethiopia au ni majina yanafanana,or huenda ukoo ulele? LOL
 
Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

Tumeshachoka!

- Kaka usije kushangaa kujua wahusika hutaamini, ila kwa vile kifo cha nyani kimewadia sasa subiri uone huu mkanda wa Cinema unavyoendelea soon yatatoka yote tuliyokuwa tunayajua siku zote!!

LE Mutuz
 
attachment.php

hiyo hapo chini ni namba ya simu? ya nchi gani?
 
Labda wananchi wenye mapenzi mema na nchi wanajiandaa na uchaguzi wa 2015
 
kuna kibabu kimesema kikiwa rais kitahalalisha gongo, sijui na haya mapowda nayo atahalalisha au vipi?
 
Aisee kuna watu wabishi nchi hii sijawah kuona. Mwenzio kakamatwa chna nawe unaenda huko huko. Ugali sahani moja hawamalizi ila vidonge zaidi ya 50 unaviweka tumboni.
 
Wachina mbna wao wanatuletea vitu fake..wacha na ss tuwApe vya kwetu
 
Jambo hilo kwa serikali hii haliwezekani!! kuna wasanii wengi kuliko unavyo weza kufikiri.

Na kwa hakika naweza kuthubutu kusema viongozi wakubwa serikalini ndio biashara yao.

Kwa akili ya kawaida walio kamatwa na madawa ya kulevya kote duniani kutoka Tanzania ni wengi kweli lakini Masogange alivyo kamata mpaka mawaziri walishuka Afrika ya kusini eti kwenda kuona kama anatendewa haki! kweli? haiwezekani. Walikwenda kumziba mdomo na kumfanyia mipango atoke,na akatoka.

TUOMBE MUNGU WATANZANIA WAENDELEE KUIJUA KWELI NA KWELI ITAWAFANYA WAZINDUKE WASEME SASA BASI, IMETOSHA.
 
Ndiyo maana huyo mwakyembe anayewakamata hatorudishiwa hiyo wizara wiki ijayo. Swali si mnataka kujua wamiliki wa hizo dawa?
 
Akimaliza kuzishusha boss wake anakuja kuchukua mzigo wake na punda wake alokwama hapo airport then inapangwa tarehe nyingine ya safari. Ni kosa la kiufundi tuu.
 
nae atasubiri uchunguzi ukamilike badala ya kulambwa risasi kesho asubuhi
 
Kama sasa Chama kilichotarajiwa kuwa dawa mjarabu kwa haya yote ndio kimesambaratishwa kwa mbinu za ufundi wa hali ya juu hivi, mnadhani kuna kikwazo gani tena cha kuzuia wakubwa wasiendelee na biashara yao?

Akina Noriega na Carlos waliitikisa dunia itakuwa Chadema! Hii biashara achana nayo.

Labda tuombe CIA na hayati KGB waingilie kati kuokoa jahazi
 
Tanzania kama kawaida watafanya siri mana mh waliomtuma wama mkono mrefu
 
Back
Top Bottom