Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Raisi ana taratibu zake,vuta subira mkuu utapata majibu...
 
Inashangaza Hadi Leo hii watu wazima hama akili ya kusoma saikolojia ya Samia.

Samia hajawahi kurupuka Wala kuendeshwa Kwa mihemko Wala kujibu wajinga.

Mara hii mumesahau dp World,Masai nk? Lisu anadhana anaweza mtoa Samia kwenye reli? Samia sio Mwendazake kwamba atajaa upepe.

Mtaongea wewe mkiishiwa mtakaa kimya mtaona kimyaaa anaendelea na ratiba zake , hajawahi na haitakuja kutokea akatoka kwenye reli.
It's coz she has nothing to explain, watu kama wewe na Co. mnaishi majukwaani kutetea legacy ambayo kimsingi haipo.

Zaidi sana tutaambiwa tukalitizame na hili. Taifa liko autopilot.
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Rais na CCM hawafai
 
Inawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
Hapo kwny nafasi za majeshi usiombe uombe na Mzanzbar hata uwe na vgezo hutoboi mbele yake yani wao wamepewa kipaumbele kuliko
 
It's coz she has nothing to explain, watu kama wewe na Co. mnaishi majukwaani kutetea legacy ambayo kimsingi haipo.

Zaidi sana tutaambiwa tukalitizame na hili. Taifa liko autopilot.
Ligacy ipi ambayo tunatetea na haipo?

Mwisho yes hana endeleeni kusubiria muembe chini ya mnazi 😆😆
 
Inawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
Deep state inawaamini zaidi wazanzibari kwenye ulinzi na usalama kuliko watanganyika.

Kwenye recruiting wanapewa upendeleo wa makusudi, at the same time watanganyika wa wilaya za mipakani wanawekewa vikwazo kwa kigezo cha kuwa wazazi wao si watanzania.
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Sasa kama anajificha agombee vp!!

HATOGOMBEA!!
 
Ligacy ipi ambayo tunatetea na haipo?

Mwisho yes hana endeleeni kusubiria muembe chini ya mnazi 😆😆
Unatetea vile unajua ameshika mpini, ameshika bunge, mahakama, jeshi nk ndio maana mnajiamini sana, zaidi sana ameshika uelewa mdogo wa watanzania. Miaka zaidi ya 45 ya ccm na hakuna kitu cha msingi mnachoweza kujivunia zaidi ya kutengeneza kundi kubwa la masikini wa kipato na akili.
 
Upuuzi 🗑️🗑️
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Pengine yupo busy na kutafuta njia ya kurahisisha huduma na maisha ya wananchi wake...
 
Ukiwa Rais siyo kila hoja unatakiwa ujibu utakua ni mtu wa kujibu kila siku mengine unaacha yanapita mambo ya kujibizana unawaachia kina Mdude na chawa wa ccm
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.

2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.

3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.

Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Sio Kila kinachoropokwa Rais akitolee ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom