ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,914
- 2,971
Acha kulia lia huyo hakufai ila ukipata mwingine jifunze sana kumkuna ili asipate muda wa kumuomba hiyo PESA.Sawa, kwani maisha hayafanani, siwezi jilinganisha

Mimi huwa siombwi PESA nikimkuna hasa huwa anatamani aje alale kwangu ila kama sitaki nakula chenga nyingi.Sawa mkuu, kwani demu ukimkuna ndio hakuombi pesa
Hapo sawa usikubali kuteseka na mapenzi , tesekea maisha yako na familia yako , usitunze mchumba wakati wazazi pia wanaweza kuwa wanakutegemea .Nishamuacha mkuu
20,000/- KWA MWEZI MAANA YAKE 667 KWA SIKUSio bure, mbona huwa namsaidia baadhi ya mambo, sasa yeye anataka kwa mwezi sasa hivi
Alikwambia alikua analiwa bure..au unahisi?.. Sasa Kama alikua analiwa bure..aendelee kuliwa bure?...KENGE WEWEMbona mwanzo alikua analiwa buree mkuu
Huna elfu 20 ya kumpa mwanamke sasa Nguvu ya Kudinya...na unaitoa wapii??? Huoni kama unajidhalilisha tu mzee...

mwanangu mwenyewe... dogo anezengua kinoma🤣🤣🤣🤣"MY wenu" lol20000 tu kwa mwezi unakuja kulia Lia hapa..kwa mtindo huu masponsor hawawezi kuwaachia kina MY wenu...pambana kijana.
We MTOTO mpumbafu Sana....Ulitaka kwakua mshamba Basi abaki na tongotongo maisha yake yote .Wewe hujui nilivyomkuta unaongea, amekuja mshamba kabisa, ila sasa hivi ameshazoea mji, ananitafutia sababu.
Alafu kitu kingine, wewe unaoenekana ni mkubwa lakini akili huna.
Jaribu kutumia hekima, au tafuta bwana akukune vizuri, hasira zitapungua
Kama huwezi pata hiyo pesa nakushauri uachane na mambo ya wanawake. Muda wako bado.Sawa lakini umesoma uzi vizuri,, mkuu
Mimi sina kazi ninasoma hiyo 20,000 natoa wapi?
Leta namba yake, niwe sponsorWakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale
Sasa nimekuja kwenu, mnishauri mimi kama kijana wa kiume nisie na kazi na bado nawategemea wazazi kwa kuwa bado ninasoma
Iko hivi niko kwenye mahusiano na msichana kwa muda ambao ni kama miezi miwili tu.
Yuko chuo na mimi pia nipo chuo.
Sasa kilichonifanya kuja kwenu, anadai natakiwa niwe ninampa pesa ya kusuka kila mwezi kiasi cha sh 20,000 taslimu.
Na akaongezea ya kuwa kama sitampa hiyo hela hakuna mapenzi kwa sababu, haiwezekani niwe namtumia tu alafu nisiwe ninampa hela.
Isitoshe yeye anao mkopo na mimi ninao mkopo.
Lakini mimi sikai ndani ya chuo nipo nje nimepanga, nikipiga gharama za kodi na michango mingine kiukweli sitaweza toka na chochote katika pesa hii ya Boom.
Maana najitahidi nisave angalau visent kadhaa ili nikirudi kitaa nipate pa kuanzia.
Nimemshauri kuhusu swala la kukaa wote ili angalau tusave walau kiasi fulani, ili hapo baadae tuweze anzisha hata kabiashara, kama ikishindikana kuanzisha pamoja bhasi, kila mtu ataanzisha mradi wake na kama tuna malengo ya kweli tutaweza fika mbali, ukizingatia sasa hivi ajira ni changamoto.
Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, Je hapo mimi kama kijana, ninae soma na kutegemea wazazi
Natakiwa nitoe 20,000 kila mwezi, nikishindwa nimeambiwa kutakuwa hamna mapenzi. Yatabakia ya mdomoni tu na mwisho yatakufa kabisa.
Ushauri wenu wakuu katika hili.
Chuoni nishaleft mwaka 2018 SAUTNa wewe upo chuo?
kaka mkubwa tema madini hapomcheki MSELA WA MANZESE kwa ushauri zaidi
Wakoncha wewe wakoncha, tumekutuma chuo ukasome sasa unaanza kutaka ishi na mwanamke wakoncha.... wakoncha kwanini lakiniWakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale
Sasa nimekuja kwenu, mnishauri mimi kama kijana wa kiume nisie na kazi na bado nawategemea wazazi kwa kuwa bado ninasoma
Iko hivi niko kwenye mahusiano na msichana kwa muda ambao ni kama miezi miwili tu.
Yuko chuo na mimi pia nipo chuo.
Sasa kilichonifanya kuja kwenu, anadai natakiwa niwe ninampa pesa ya kusuka kila mwezi kiasi cha sh 20,000 taslimu.
Na akaongezea ya kuwa kama sitampa hiyo hela hakuna mapenzi kwa sababu, haiwezekani niwe namtumia tu alafu nisiwe ninampa hela.
Isitoshe yeye anao mkopo na mimi ninao mkopo.
Lakini mimi sikai ndani ya chuo nipo nje nimepanga, nikipiga gharama za kodi na michango mingine kiukweli sitaweza toka na chochote katika pesa hii ya Boom.
Maana najitahidi nisave angalau visent kadhaa ili nikirudi kitaa nipate pa kuanzia.
Nimemshauri kuhusu swala la kukaa wote ili angalau tusave walau kiasi fulani, ili hapo baadae tuweze anzisha hata kabiashara, kama ikishindikana kuanzisha pamoja bhasi, kila mtu ataanzisha mradi wake na kama tuna malengo ya kweli tutaweza fika mbali, ukizingatia sasa hivi ajira ni changamoto.
Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, Je hapo mimi kama kijana, ninae soma na kutegemea wazazi
Natakiwa nitoe 20,000 kila mwezi, nikishindwa nimeambiwa kutakuwa hamna mapenzi. Yatabakia ya mdomoni tu na mwisho yatakufa kabisa.
Ushauri wenu wakuu katika hili.
Sasa blaza unataka utwange bure tu hicho kinu umekichonga wewe?Wakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale